Jarida la Forbes limetoa orodha ya wanamichezo wenye utajiri mkubwa kwa miezi 12 iliyopita. Conor McGregor anaongoza kwenye orodha hiyo.
Akiwa na utajiri wa pauni milioni 128, McGregor alitengeneza faida ya pauni milioni 15.6 kwenye mpambano wake dhidi ya Dustin Poirier. Sehemu kubwa ya utajiri wake unatokana na bidhaa yake ya kinywaji sambamba na matangazo anayofanya.
Wachezaji bora wa soka duniani Lionel Messi (pauni milioni 92.4) na Cristiano Ronaldo (pauni milioni 85.3) wanafuata kwenye orodha hiyo sambamba na mchezaji wa NFL – Dak Prescott (pauni milioni 76.4) na nyota wa LA Lakers – LeBron James (pauni milioni 68.6).

Wengine waliotajwa kwenye orodha ya 10 nyuma ya Conor McGregor ni: Lewis Hamilton (pauni milioni 58.3), Roger Federer (pauni milioni 64), Tom Brady, Kevin Durant na Neymar Jr.
Licha ya kuwa mwanamichezo wa kwanza, McGregor anashika nafasi ya 3 (pauni milioni 49.8) katika orodha ya wanamichezo waliotengeneza pesa ndefu nje ya uwanja wakati akiendelea kucheza mchezo wa masumbwi. Wanaongoza ni Rodger Federer na Tiger Woods.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Pongezi kwake
Duuh sio pouwah
Pambano na mayweither limempa jina
Hongera zake#meridianbett
Inapendeza Sana
Hongera yao
Duuuh
Duuh
Hongera kwake