Israel Adesanya amefanikiwa kutetea taji lake la Middleweight Championship kwa mara ya pili mfululizo dhidi ya Robert Whittaker kwenye ukumbi wa UFC 271 jijini Texas Marekani.

Mpambano huo wa marudiano kati ya Israel “The Last Stylebender” Adesanya na “The Reaper” Robert Whittaker lilikuwa ni moja ya pambano la kuvutia huku mashabiki wengi wa The Reaper Nation wakitarajia kulipa kisasi cha pambano lililopita kwenye UFC 243  mwaka 2019.

Adesanya

Kwenye pambano la raundi tano zilitosha kabisa kwa The Last Stylebender” Adesanya kutetea tena ubingwa wa pili mfululizo kutoka kwa Whittaker kwa kumchakaza (48:47, 48:47, 49:46) na kutetea taji lake la tano.

Mwisho wa pambano wakati akihojiwa “The Last Stylebender” Adesanya alisema, “najua angejaribu kufanya kila kiitu, mara ya mwisho nilichukua kila kitu, hwaiyo hakuwa na cha kupoteza kama nilivyosema mimi ndio bingwa, kama unataka njoo uchukue.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa