UFC: Rasmi Kurudi London March 19

UFC tatibitisha  tena kurudi nchini Uingereza baada ya mashindano hayo kusimama kwa muda mrefu nchini humo huku leo siku ya Jumanne wametangaza kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii kuwa tarehe 19 March London kutakuwa na mechi.0

UFC hawajaandaa mchezo wowote jiji London tangu “UFC Fight Night 147 ” mwezi march 2019 ambapo pambano hilo liliwakutanisha Darren Till na Jorge Masvidal kwenye mkanda wa  welterweights, pia mwezi March 2020 waliandaa pambano la kuwania mkanda wa welterweight kati ya Leon Edwards na Tyron Woodley lakini lilihairishwa.

UFC

Kutokana na mlipuko wa Uviko-19 mapambono kadhaa ya yalifutwa, pia kulikuwa na pambano lilipongwa kufanyika 4 septemba lakini halikuwaza kufanyika jijini London, badala yake likaenda fanyika UFC Apex jijini Las vegas kutokana na milipuko ya Uviko-19 kuendelea.

Mapambano ambayo yameandaliwa kufanyika  kwenye “UFC Fight Night” march 19:-

  • Jake Hadley vs. Allan Nascimento
  • Luana Carolina vs. Molly McCann
  • Cody Durden vs. Muhammad Mokaev
  • Makwan Amirkhani vs. Mike Grundy
  • Jack Shore vs. Timur Valiev
  • Shamil Abdurakhimov vs. Tom Aspinal

Ticket zinatarajiwa kuanza kuuzwa tarehe 4 February


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe