Bondia wa mchezo wa UFC Conor McGregor ataendelea kuuguza jeraha la mguiu wake wa kushoto alilopata mwezi Julai mwaka jana wakati wa pambano la marudiano ya tatu na Dustin Poirier ambapo McGregor alipoteza kwa KO.
Kwa mujibu wa maripota wa Canada ni kwamba The Notorious atarejea Octagon mwaka 2023 inaweza kuwa Februari au Machi.
“Haionekani kama atarudi 2022. Kwa hivyo sasa, hapa una mtu ambaye hajapigana tangu (Julai) mwaka jana. Mara ya mwisho nilisikia, , ni kwamba Conor anaweza kuja. nyuma mwezi Februari, Machi au kitu kama hicho”; aliongea katika kipindi cha ‘The MMA Hour.
Conor alilazimika kufanyiwa upasuaji kwaajili ya kutibu mfupa wake na timu yake iliongea kwamba hakuna uharaka wa yeye kurejea bali anapaswa kuimarika kabla ya kurejea tena kwenye mapigano.
“Vipi kama akarejea na akaumia tena? Kuna vitu vingi vinaweza kutokea hakuna uhakika kwamba anaweza kurejea kesho au mwezi ujao kitu cha mwisho nilichosikia nikwamba atarejea mapema mwaka ujao.
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.