Liga MX, huko Mexico 🇲🇽 imetangaza kuwa jumla ya wachezaji wanane wa Klabu ya Santos Laguna wamepatikana na ugonjwa wa coronavirus… Ligi hiyo ilithibitisha habari hiyo jana Jumatano jioni kwani kesi za coronavirus nchini kote zimeongezeka.

Mexico imethibitisha karibu kesi 55,000 na vifo 5,666 hadi sasa… Hakuna mchezaji hata mmoja kati ya waliokutwa na Virusi vya Corona (COVID19) ametajwa jina lake, ingawa ligi ilithibitisha kuwa kila mmoja kati ya wanane hao ni wazima kabisa kwa Afya zao.
Habari zinakuja wakati Liga MX inaendelea kutatua jinsi ya kushughulikia kurudi kwa mechi za ligi, na vilabu kadhaa vimetakiwa kupendekeza tarehe ya kurudi kwa ligi.. Liga MX imesimamishwa tangu Machi 15 na mechi 10 tu zilizochezwa katika Clausura hadi sasa.
Uongozi wa Ligi umepanga kukutana Ijumaa kujadili njia ya kusonga mbele kwa ligi, na ikiwa msimu ufutwe ni jinsi gani ya kumpata bingwa.


mwakalosi
Hali ya hatari hii kwa mexico maana namba ya wagonjwa inazidi kupanda
SADICK
Hapo waswahili wa Buza tunasema supu imetiwa nazi! Wachukue tahadhari lakini ligi ianze na maisha mengine yaendelee #Meridianbettz
David pere
Hapo Ndio patamu Sasa sijui Hawa wa kwetu wakipimwa watakosekana kweli
Adelta
Tumwombe mungu atusaidiye
Theckla
Jamani Mungu awaponye
Salma
Si habari kwao na kwa mashabiki
Evaluziga
Tumuombe mungu awaponye
Furahav
Poleni sana mexico.
Antony Luseno
Mwaka huu na hili janga la corona mambo mengi yamekwama sio tu katika soka
Ester
Habari mbaya kwa wachezaji na kwa mashabiki pia
lombo
polen sana huko ndugu zetu
Gabriel
Habar ya kusikitisha sana
Rehema
Tuombe mungu awasaidie
aisha
mexco poleni sana ila msiache kufanya maombi au ingekua tz nyungu ingehusika
Rehema Dickson
Allah awajalie afya
Khadija
duuh hapo dua inahusika wapate kupona waendelee na mpira#meridianbettz
Elika
Natumai ipo siku tutaisahau hii corona.mungu awasaidie huko nchini mexico
Ernest
Mchakato wa kurudisha league utakuwa mgumu hapa labda hao wengine wapone mapema.
Genia skaluzwe
Mungu atafanya wepesi juu yao
Dorophina
Inabidi mexico wachukue tahadhari
Juliana
Mmmmh mmmmh! Ugonjwa hatari sana, tahadhari ifuatwe
Hidaya Mohammed
Maisha lazima yaendelee ila tahadhari lazima
Amani
Mchakato wa kurudisha league utakuwa mgumu hapa labda hao wengine wapone mapema.#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Daa corona inaogopesha Sana kikubwa kumuomba mungu ilogonjwa liishe
Zeiyana iddi
Ina vunja mioyo ya wachezaji kweli..!wachezaji wanapitia maisha magumu sana nisawa ulazwe hospital alafu mgonjwa mwenzio hafe..!
Kenani
Dah noma sana
Hamidu
Duu! Janga hili. Ni hatari …kujikinga ni muhimu .#meridianbettz
Hope mwaikuka
Kwake hakuna kubwa so tuendelee kuomba tu ugonjwa utaisha
Theonestina
Cha umuhimu apo no kuchukua tahadhali tu
Ester mmakasa
Duuh! Itaisha tuu corona na watu wataendelea namipango yao ya maisha.
Neema juma
Cha msingi ni kuchukua tahadhali na kumwomba Mwenyezi Mungu hamna namnaa
Magdalena
Duh hatar Sana Mungu awatetee #meridianbet
Asia Abdy
Mungu atawaponya
frank patrick
Hili la kurudi kwa league yao limeanza kuwa gumu
felister
mwenyezi mungu tuondolee hili gonjwa jamani
Samiah
Mungu awaondoshee hili gonjwa wana mexico wote
Agness
Mungu awasaidie
winfrida
daa mungu awasaidie
Mwanaidi
Covid 19 ni balaa mungu awaponye duuh
nasra
Mungu awasaidie wapone
Tahiya
Siyo Poaw huu ugonjwa mungu awaponye
Emmy cleopa
Poleni sana m/mungu atawafanyia wepesi
Mwajuma
Da majanga chamuhimu kuomba mungu azidi kututetea
Mariam mtandama
Duuuh hatari sana
Mwanahamisi
Daah noma sana
Swai
Hii COVID19 nishidaa ni kumuombaa mungu
Devotha
Hili kanga linapita tu kila kitu kutakua sawa