Soka ni tamu sana na wakati mwingine linakuwa na mambo mengi!
Ni zaidi ya kuingia na kukimbizana uwanhjani, mambo mengi ya kufurahisha na yanakuwa na sura ya pekee kwenye soka. Frenkie de Jong aliwafurahisha sana wadau wa Ajax kipindi alipokuwepo klabuni hapo mpaka wakati alipokuwa anaondoka.
Wadau na wapenzi wa Ajax walitamani staa huyo angesalia, na waliheshimu maamuzi ya kuondoka. Aliandaliwa namna ya pekee ya kuagwa, jamaa waliamua kukodi basi kwenda kumshukuru Dejong.

Frenkie De Jong alikamilisha uhamisho wa kutoka klabuni hapo kwenda Barcelona mwezi Januari 2019 kwa dau la paundi milioni 75. Kwa kutambua mchango wake mkubwa klabuni Ajax, staa huyu atakumbukwa klabuni hapo.

Basi lililokodiwa lilipambwa kwa picha ya mwanasoka huyu kinda na kuandikwa ujumbe kwa Barcelona.
Ujumbe uliotumwa kwa Barcelona ulisomeka kwa kingereza “Barca, enjoy the future like we do” ukimaanisha kuwa klabu ya Barcelona nayo ifurahie kesho yake ikiwa na staa huyu kama wao.
Basi hilo lilipewa ratiba ya kuzunguka ndani ya
Hispania kumtakia heri kinda huyu aliyecheza jumla ya gemu 89 za Ajax baada ya kujiunga na klabu hiyo mwaka 2015.
Kuaga kitu unachokipenda ni kazi sana, lakini si kwa ubaya, jamaa alijituma na kufanya kazi nzuri waliamua kumsindikiza kwa namna yake.


mwakalosi
Hii sikuipata aisee asante meridianbet
David pere
Mwenyewe alifurahi Sana
SADICK
Wanifundisha kitu kwamba tuwe waungwana #Meridianbettz
Theckla
Walimthamini sana
Evaluziga
Asanten meridian kwa taarifa
Salma
Alijifundisha kitu
Adelta
Walifanya vizuri sana
Rehema
Asante sn meridianbet kwa hilo
Furahav
Jambo zuri sana.
felister
ukiishi na watu vizuri ndo inavyokuwa de jong ataendelea kukumbukwa ajax
Juliana
Dejong alikuwa mpambanaji
Rehema Dickson
Walifanya yanayo stahili
Ester
Alifanya vizuri kwa upendo ndio mana wamefanya hivyo
Gabriel
De jong alikuwa yupo vzur sana ajax but napo baca alionyesha uwezo
Antony Luseno
Ni jambo la kuigwa kwa vilabu vingine
aisha
ajax walikua wanapendana sana ndio maana walimuaga kwa upendo
Khadija
walifanya vzr sana#meridianbettz
Ernest
De jong ameacha kukumbumbu kubwa sana pale Mjini Ajax, Kujituma kwake kulimfanya akubalike sana.
Genia skaluzwe
Dejong alikuwa jembe
Amani
jamaa alijituma na kufanya kazi nzuri waliamua kumsindikiza kwa namna yake.#meridian
Elika
Meridianbet mko vizur kutuletea habari motomoto
Hamidu
De jong talent player# meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Dogo uyo yupo vizuri anajua
Magdalena
Uungwana na kitu muhimu Sana #meridianbet
Ester mmakasa
Inapendeza sana stahili yao ,hawakujali kuwa anakwenda klabu nyingine lakni walimfanyia wema hongera kwao.
Hope mwaikuka
U guys mko so unique hongeren sana
Theonestina
Asante meridianbet kwa taarifa
Neema juma
Mmh asante #meridianbet kwa taarifa hii
Hidaya Mohammed
Asante meridianbet mmenijuza kitu leo
Asia Abdy
Ana mengi yakuigwa
frank patrick
Namna hii yan unaondoka kwenye team kiroho safi hata unapokwenda lazima utafanya vizuri tu
Samiah
Nimfano wa kuigwa
Agness
Nijambo jema
felister
ukiishi na watu vizuri ndo inavyokuwa de jong ataendelea kukumbukwa ajax
winfrida
de jong alikuwa mtu wa watu
Shafii
Hii itakumbukwa Ajax ni nyumba ya vipaji anajua Sana dejong
Aziza mushi
Walifanya vizuri
Mwanaidi
Alistahili walichomfanyia alikuwa anajituma sanaa mshikaji
WAZIRI
Ilikuwa poa sana
Tahiya
Ni vizur hiyo inamaana kubwa sana kwake
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa taarifa
Mwajuma
Da ilipendeza sana
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Swai
Ilikuwaaa noma
Mwanahamisi
Asante meridian
Devotha
Walifanya vizuri