Kocha wa Mikel Arteta amekiri kuwa mchezaji wake Gabriel Jesus atakuwa amesikitishwa sana hapo jana baada ya kukosa nafasi za kufunga mabao hapo jana kwenye mchezo dhidi ya Southampton. …
Makala nyingine
Wakati timu mbalimbali zikiendelea kupitia wakati mgumu kwenye Ligi, kutana na mwamba huyu hapa wa Italia kwasasa Napoli ambaye amebaki peke yake katika ligi hiyo ambaye hajapoteza mpaka sasa. …
Je unajiuliza utawezaje kuchukua pesa yako kweny mechi zako ulizobashiri na bado zinaendelea? Usijali ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana na hauna haja ya kusubiri kutoa pesa zako. Mechi …
Klabu ya Arsenal ambayo ipo chini ya kocha mkuu Mikel Arteta wamepata sare yao ya kwanza kwenye ligi hii leo ya 1-1 kwenye mchezo wao wa raundi ya 11 dhidi …
Mshambuliaji wa Intermilan Lautaro Martinez amezipa kisogo tetesi zinazosema kuwa yeye atakwenda Bayern Munich ya Ujerumani au Psg ya Ufransa, huku akisema kuwa matumaini yake ni kuja kuwa Gwiji katika …
Mchezaji wa zamani FC Barcelona Clement Lenglet amesema kuwa umuhimu wa Harry Kane kwa Tottenham ni muhimu sawa na athari aliyokuwa nayo Lionel Messi wakati akiwa mchezaji wa Barcelona. …
Kocha mkuu wa Intermilan Simone Inzaghi amesema kuwa hakuwa na wasiwasi kamwe kuhusu mchezaji wake Lautaro Martinez kwenye kufunga mabao ambapo aliingia kambani mara mbili hapo jana na kutoa pasi …
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa anataka zaidi kutoka kwa kiungo wake Kevin De Bruyne ambaye anasema hachezi katika kiwango chake cha juu licha ya mchezaji huyo kufunga …
Mabosi wa soka wa Uingereza (FA) wameshutumu kelele za chuki za ushoga kutoka kwa mashabiki wa Manchester United huko Chelsea huku klabu hiyo ya Stamford Bridge pia ikisisitiza kuwa nyimbo …
Beki wa kati wa Manchester United, Raphael Varane aliondoka uwanjani hapo jana huku akilia baada ya kuumia katikati ya mchezo wakati mechi ikiendelea kwenye mchezo wa Ligi kuu ya Uingereza …
Mustakabali wa mchezaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo upo mbioni kumalizika huku akiwa na hatihati ya kuondoka klabuni hapo mwezi Januari, huku ripoti mbalimbali zikisema kuwa anaweza kutimkia Chelsea. …
Yanga Vs Simba: HATIMAYE imewadia ile siku iliyokuwa ikusubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka, Tanzania, Afrika Mashariki na Ukanda wa Kusini na kati, ni mchezo wa kukata na …
Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Graham Potter amesema kuwa Manchester United ilistahili kupata alama moja hapo jana kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1, huku Mashetani Wekundu walipokuwa ugenini …
TIMU ya Taifa ya Wasichana wa U17, Serengeti Girls imeyaaga mashindano ya kombe la dunia kishujaa baada ya kuchapwa mabao 3-0 mbele ya Colombia ambao kwa ushindi huo wamekwenda nusu …
Usijali sana endapo mkeka utachanika kwa gemu moja sasa, ukiwa na Meridianbet ambapo utaweza kurejeshewa pesa yako endapo utapoteza gemu moja kati ya zile ambazo umebashiri kwenye mkeka wako, unachotakiwa …
Mchezaji wa Manchester United Lisandro Martinez anaamini kuwa klabu yake wako njiani kuwania heshima chini ya Erik ten Hag, lakini anasema United lazima wabaki na msingi kufuatia mabadiliko yao ya …
Kariakoo Derby: Kuelekea mechi kubwa ambayo husimamisha nchi kwa dakika 90, na sio nchi tu bali kwa wapenda soka wote hawatasubiri kusimuliwa, mtoto hatumwi dukani muda huo. Makocha wa timu …
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amemjibu kocha mwenzake wa Liverpool juu ya kauli yake ya ukosoaji ya kuwa City wanatumia pesa nyingi kwenye kufanya usajili wa wachezaji. Klopp …
Meridianbet wamekuja na mzigo mkubwa kwaajili yako wewe mtu wangu wa nguvu, ambaye umekuwa ukiteseka na kuchana mikeka yako kila kukicha. Huenda ulikuwa unafahamau hili au huenda ulikuwa hujui kuhusu …
Kocha mkuu wa Chelsea Graham Potter ameongea kuhusu mkataba wa kiungo wa timu hiyo N’Golo Kanté ambapo mkataba wake unamalizika mwezi Juni huku bado kukiwa hakuna mwafaka wa mchezaji huyo …