Yanga Vs Simba Takwimu Zinawahukumu

Yanga Vs Simba: HATIMAYE imewadia ile siku iliyokuwa ikusubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka, Tanzania, Afrika Mashariki na Ukanda wa Kusini na kati, ni mchezo wa kukata na shoka mchezo mgumu na wa kihistoria. Ni Yanga ndiye atakuwa mwenyeji akimkaribisha Simba SC kwenye dimba la Mkapa majira ya Saa 11:00 za jioni.

 

Yanga Vs Simba Takwimu Zinawahukumu

Mchezo huu ni miongoni mwa michezo migumu kwenye Ligi kuu na mara nyingi pindi timu hizi zinapokutana huwa ni ngumu kutabiri nani mshindi, lakini kupitia Meridianbet unaweza kutabiri matokeo ya mechi hii na ukipatia utajinyakulia pesa taslimu pamoja na zawadi kibao kama vile Simu, boda boda na Bajaji.

Leo nataka nikupitishe kwenye takwimu zilizowakutanisha Simba na Yanga kwenye mechi 10 zilizopita huku kila mmoja akiwa na rekodi za kipekee kuliko mwenzake.

Katika mechi 10 za mwisho kukutana kwenye Ligi Kuu Yanga ameshinda mechi 2, Simba ameshinda mechi 2, na matokeo ya sare ni kwenye mechi 6, leo Oktoba 23, 2022 miamba hii itakutana tena kuweka rekodi zaidi ya mwenzake. Chama lako unalipa asilimia ngapi za ushindi.

 

Yanga Vs Simba Takwimu Zinawahukumu

1. Oktoba 1, 2016-Yanga SC Vs Simba SC=1-1
2. 25, Februari, 2017- Simba SC Vs Yanga=2-1
3. 30, Septemba, 2018-Simba Vs Yanga=0-0
4. 16, Februari, 2019-Yanga Vs Simba=0-1 (Kagere)
5. 4, Januari, 2020-Simba Vs Yanga=2-2
6. 8, Machi, 2020- Yanga Vs Simba=1-0 (Morrison)
7. 7, Novemba, 2020 (2020/21)- Yanga Vs Simba=1-1
8. Julai 3, 2021 (2020/21) Simba Vs Yanga=0-1 (Gift Mauya)
9. Desemba 11, 2021 (2021/22) Simba Vs Yanga=0-0
10. Aprili 30, 2022 (2021/22) Yanga Vs Simba =0-0
11. Oktoba 23, 2022 (2022/23) Yanga Vs Simba = ???

Takwimu za Simba na Yanga zinajieleza vizuri mchezo wa leo utakuaje, ukifikiria Simba ya Juma Mgunda imetoka kushinda na kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya mabingwa barani Afrika hivyo wataingia kwenye mchezo huu wakiwa na hali nzuri ya upambanaji, pia hata Yanga ya Nabi imetoka kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa hivyo wataingia kwenye mchezo huu wakiwa na hali ya kurejesha furaha kwa mashabiki zao.

 

Yanga Vs Simba Takwimu Zinawahukumu

Ukipita Meridianbet utakuta Odds kubwa zaidi kwenye mechi hii ambapo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi kwa odds ya 2.11 huku Simba wakiwa wamepewa Odds ya 3.57, Sare ina Odds ya 2.60. Unadhani matokeo yatakuaje…?

Acha ujumbe