Tuesday, September 27, 2022

TFF

Masau Bwire

Masau Bwire: Mashabiki Simba na Yanga Acheni Ushamba Huo

0
OFISA Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amesema kuwa, mashabiki wa Simba na Yanga waache ushamba wa kujipendekeza kwa wageni kwenye kipindi hiki ambacho timu zao zinashiriki mashindano ya kimataifa. Bwire, aliwataka mashabiki na wanachama wa Simba na ...
Mgunda

Mgunda: Simba Hii Atacheza Kila Mtu

0
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Juma Ramadhan Mgunda amesema kuwa kila mchezaji aliyesajiliwa na timu hiyo ni bora ana anayo nafasi ya kucheza na kila mmoja atapata muda wa kutoa mchango wake kwenye timu hiyo. Mgunda alisema wapo wachezaji baadhi...
Yanga

Yanga Watamba Kushinda Popote Pale 

0
HUKU wengi wakiamini Yanga SC kuanzia nyumbani katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal itawazuia kufuzu hatua ya makundi, kocha msaidizi wa timu hiyo, Cedric Kaze ameibuka na kushusha presha kwa kusema...
yanga

Yanga Yatambulisha Mkurugenzi Mpya.

0
Klabu ya Yanga imetambulisha Mkurugenzi mtendaji mpya anayejulikana kama Andre Mtine klabuni hapo mapema leo, kupitia Rais wa klabu hiyo Mhandisi Hersi Said Ally.   Hii imekuja baada ya kuondoka kwa aliyekuwa mkurugenzi mtendaji mkuu wa klabu hiyo raia wa Afrika...
KMC

KMC Yaiwinda Namungo

0
WACHEZAJI wa KMC leo wameanza maandalizi kuelekea katika mchezo unaofuata wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo ambao utapigwa Oktoba 1, mwaka huu kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu...
Yanga

Yanga Yaihofia Al Hilal

0
WAKATI wakijiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Benchi la ufundi la Yanga limefunguka kuwa mchezo huo utakuwa mgumu hivyo wamejipanga kwa ajili ya kuhakikisha wanapata nafasi ya kuingia hatua ya makundi. Yanga...
Azam

Tonombe Apewa Zawadi na Azam

0
ALIYEKUWA nyota wa Yanga, Mukoko Tonombe ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya TP Mazembe amepewa zawadi ya jezi na Uongozi wa Azam FC. Tonombe alikitumikia kikosi cha Yanga kwa mafanikio makubwa ambapo aliondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia...
Pan

Pan Yaipania Mashujaa

0
UONGOZI wa klabu ya Pan African umefunguka kuwa mipango yao ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Mashujaa. Timu hizo zinakutana zikiwa zinafanana kwa pointi kila mmoja akiwa nayo moja ambapo wanatarajia kucheza kesho kwenye Uwanja wa...
morisson

Morisson Kuikosa Simba Oktoba 23.

0
Bernard Morrison mchezaji machachari wa klabu ya Yanga ataukosa mchezo wa Simba unaotarajiwa kupigwa oktoba 23 mwaka huu. Morrison ambae amefungiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) baada ya kufanya kosa la utovu wa nidhamu katika mchezo dhidi...
pan african

Pan matumaini kibao Championship.

0
BAADA ya kuanza michuano ya Championship kwa sare ugenini dhidi ya Kitayosce, benchi la ufundi la Pan African limefurahishwa na viwango vya wachezaji wao na kuahidi kufanya vizuri msimu huu. Mchezo huo wa kwanza kwa timu zote ulipigwa jana jumamosi...

MOST COMMENTED

Asilimia 68 ya Wachezaji wa EPL Wachoma Chanjo ya Covid-19

0
Covid-19 ni janga linalokabili ulimwengu na kila kukicha wataalamu wa afya wanatafuta uvumbuzi wa kukabiliana nalo na mpango wa sasa ni kujikinga kwa kupata...

HOT NEWS