Yanga Sherehe Kuanzia Mbeya
Klabu ya Yanga inatarajia kukabidhiwa ubingwa wake hapo kesho jijini Mbeya kwenye mchezo wake dhidi ya Mbeya City kwenye dimba la Sokoine.
Kabla sherehe hazijahamia jijini Dar es salaam ambapo wamepanga kutembea na gari la wazi ili kusherekea pamoja na...
FIFA Yatembeza Rungu kwa Geita Gold FC
Klabu ya Geita Gold FC inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imekumbana na rungu la shirikisho soka duniani FIFA kwa kuzuiwa kufanya usajiri mpaka pale watakapomlipa stahiki zake aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Ettiene Ndayiragije.
Ettiene Ndayiragije aliipeleka klabu...
Yanga Kumaliza Ligi Pasipo Kufungwa?
Klabu ya Yanga ndio klabu pekee mpaka sasa ambayo inashiriki ligi kuu ya NBC Premier League ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi baada ya kucheza michezo 28 mpaka sasa.
Yanga leo ameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga Polisi Tanzani...
Biashara United Yapata Rungu La FIFA
Klabu ya Biashara United inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imefungiwa kufanya usajiri kwa muda wa miaka miawili baada ya kukaidi maamuzi ya shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA la kumlipa stahiki zake mchezaji wake Timoth Balton...
Simba Kuwashukuru Mashabiki Wake
Klabu ya Simba sports Club inayoshiriki ligi kuu ya nchini Tanzania NBC Premier League imepanga kuwashukuru mashabiki wake kwenye mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar FC.
Simba inakwenda kucheza mchezo wake wa mwisho kwenye uwanja wake wa nyumbani,...
Barbara Gonzalez Afunguka Makocha Wa Afrika.
Klabu ya Simba SC ipo kwenye mchakato wa kumpata mrithi wa Didier Gomes baada ya kuachana na kocha huyo. CEO - Barbara Gonzalez atoa neno.
Simba ilichukua uamuzi wa kuachana na Gomes muda mfupi baada ya timu hiyo kupoteza mchezo...