Makala nyingine

Klabu ya Polisi Tanzania wameendelea na maandalizi ya msimu ujao, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Joslin Sharif ameanza na kuwajenga wachezaji kisaikolojia ili kuweza kuwa sawa kiakili kwa ajiri ya …

Uongozi wa klabu ya Azam FC umetangaza rasmi kuachana na kiungo wa kikosi hicho na timu ya Taifa Stars (Tanzania), Mudathir Yahya baada ya mkataba wake kumalizika. Kikosi cha Azam …

Manara Atema Nyongo

Msemaji na muhamasishaji wa klabu ya Yanga Haji Sunday Manara amerusha vijimbe kwa lugha ya picha baada ya kuzuiwa kujishughulisha na mchezo wa soka ndani na nje ya nchi kwa …

kiungo Mshambuliaji wa Azam FC, Awesu Awesu amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja. Baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Azam Awesu sasa amesajiriwa rasmi …

Ofisa habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ameteuliwa kuwa balozi wa mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Cambiasso. Mashindano hayo yatajumuisha timu kutoka nchi mbalimbali ikiwemo …

Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeweka wazi kuwa wataweka Kambi maalumu kwa ajili ya maandalizi ya michezo inatayotarajia kuanza hivi karibuni kwenye msimu wa 2022/23 katika jiji la Dar …

1 2 3 8 9 10 11 12 13
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.