Kiungo wa Simba Augustine Okrah amefunguka kuwa anataka kuwa mfungaji bora wa timu hiyo ili kuwapa furaha mashabiki na kuwa mchezaji wa kutumainiwa. Okrah amefunguka hayo baada ya kufunga bao …
Makala nyingine
Kiungo nyota wa klabu ya simba Mzamiru Yassin leo amesaini kandarasi mpya itakayomuweka kwenye viunga vya msimbazi kwa miaka miwili zaidi kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2024. Mzamiru yassin alijiunga …
BAADA ya kumtambulisha kiungo mshambuliaji kutoka Ghana, James Akaminko, Uongozi wa Azam FC umefunguka kuwa bado usajili wa beki kisiki ambao utakamilisha usajili wao kwenye dirisha kubwa la usajili. Azam …
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen ametaja sababu za kuwaita nyota 24 katika kikosi chake. Stars wamebakiwa na hatua tatu kwa ajili ya kufika …
Mchezaji mkongwe wa Tanzania Prisons na nahodha wa timu hiyo Benjamini Asukile alifunguka kuwa aliwaambia viongozi na mabosi wake kuwa kwa vyovyote itakavyokuwa lazima wataibakiza timu yao kwenye ligi hiyo. …
Usajiri unaoendelea ndani ya kikosi cha Azam FC unawapa jeuri wachezaji wa klabu hiyo kiasi cha kubeza usajili ambao unafanywa na klabu zingine hususan Simba na Yanga ambao wamekuwa wakisajili …
Mchezaji nyota wa klabu ya Simba Pape Sakho leo amekabidhiwa zawadi yake ya mchezaji bora wa mwezi Juni wa klabu hiyo ambapo kiasi cha shilingi milioni mbili amekabidhiwa na kampuni …
PENGINE muda wowote beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michale atatambulishwa kuwa mchezaji wa Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja kwa mujibu wa taarifa za mmoja wa viongozi …
KIUNGO mwenye vituko vingi nje ya uwanja Bernad Morrison amefunguka kwa mara ya kwanza tangu aliposajiliwa na Yanga na kubwa zaidi akiwataka wanayanga wampokee kwa kuwa amerudi nyumbani. Bernad ‘BM3gh’ …
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ameweka wazi viongozi wa timu yake wamekuwa mstari wa mbele kubariki kuweza kupata changamoto mpya ikiwa atapata sehemu nzuri. Manula mwenye clean sheet …
Thobias Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa kwa sasa wanavuta pumzi kidogo wakijipanga kufanya kweli kwenye usajili mara baada ya kubaki kwenye ligi. Mtibwa Sugar ilikuwa inapambana …
UNAWEZA kusema kwamba Azam FC wana jambo lao kwa msimu ujao hiyo ni baada ya kutangaza kwamba wanatarajia kuweka kambi yao katika mji wa El Gouna uliopo nchini Misri. Kikosi …
LICHA ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa kwanza wa mtoano ‘Playoff’ dhidi ya JKT Tanzania benchi la ufundi la Tanzania Prisons limehofia mchezo wa marudiano. Mchezo huo wa marudiano …
Mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Abdul Suleiman ‘Sopu’ ameonyesha kuwa na mzuka wa kuanza maisha yake mapya kwenye klabu ya Azam ambapo amefunguka kuwa mashabiki na …
KIPA wa Simba, Aishi Manula amefunguka kuwa kwa msimu huu mambo yamekuwa magumu lakini amefurahi tuzo hiyo kuchukuliwa na kipa wa timu nyingine. Aishi amesema hayo kwenye usiku wa tuzo …
BENCHI la ufundi la Namungo limefunguka kuwa majeraha ya straika wao, Relliants Lusajo ndio yaliyomkwamisha kwa msimu huu kufanya vizuri kwenye ligi. Lusajo kwa msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 10 …
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Yanga Fiston Mayele, je huu ndio msimu wake wa mwisho na mabingwa wa Tanzania bara wa NBC Premier League? Awali kulikuwa na taarifa kuwa mshambuliaji …
Baada ya ligi kuu Tanzania bara kuisha NBC Premier League sasa ni muda wa mdhamini wa ligi hiyo kutoa zawadi kwa washindi wote wa ligi na wachezaji waliofanya vizuri kwenye …
BAADA ya kumaliza ligi katika nafasi ya nane kwenye msimamo, Uongozi wa Polisi Tanzania kwa sasa umeweka mikakati ya kuwasajili nyota wa kimataifa kwa ajili ya kuboresha zaidi kikosi chao …
Klabu ya Yanga SC imempitisha Eng Hersi Said kuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais ambaye amepita bila kupingwa kutokana na kutokuwepo mgombea mwengine ambaye aliomba kugombea kiti cha urais. …

