Nyota mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Fiston Mayere ameteka mitandao ya kijaamii kutokana na tetesi ambazo zimekuwa zikisambazwa kuwa tayari ameshasajiriwa na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini …
Makala nyingine
Mabingwa wa Ligi kuu ya Tanzania ‘NBC Premier League’ Yanga SC imeonesha utofauti kwenye mapokezi na ushangiliaji ‘Trophy parade of honour’ baada ya kukabidhiwa rasmi kombe lao jijini Mbeya na …
Klabu ya Yanga inatarajia kukabidhiwa ubingwa wake hapo kesho jijini Mbeya kwenye mchezo wake dhidi ya Mbeya City kwenye dimba la Sokoine. Kabla sherehe hazijahamia jijini Dar es salaam ambapo …
Klabu ya Geita Gold FC inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imekumbana na rungu la shirikisho soka duniani FIFA kwa kuzuiwa kufanya usajiri mpaka pale watakapomlipa stahiki zake aliyekuwa …
Klabu ya Yanga ndio klabu pekee mpaka sasa ambayo inashiriki ligi kuu ya NBC Premier League ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi baada ya kucheza michezo 28 mpaka sasa. Yanga …
Klabu ya Biashara United inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imefungiwa kufanya usajiri kwa muda wa miaka miawili baada ya kukaidi maamuzi ya shirikisho la mpira wa miguu duniani …
Klabu ya Simba sports Club inayoshiriki ligi kuu ya nchini Tanzania NBC Premier League imepanga kuwashukuru mashabiki wake kwenye mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar FC. Simba inakwenda …
Klabu ya Simba SC ipo kwenye mchakato wa kumpata mrithi wa Didier Gomes baada ya kuachana na kocha huyo. CEO – Barbara Gonzalez atoa neno. Simba ilichukua uamuzi wa kuachana …

