Klabu ya Yanga inatarajia kukabidhiwa ubingwa wake hapo kesho jijini Mbeya kwenye mchezo wake dhidi ya Mbeya City kwenye dimba la Sokoine.

Kabla sherehe hazijahamia jijini Dar es salaam ambapo wamepanga kutembea na gari la wazi ili kusherekea pamoja na mashibiki kama timu za barani ulaya zinavyofanya, Sherehe zitaanzia jijini Mbeya, mashabiki wa mbeya watapata fursa ya kusherekea ubingwa kwa siku nzima ya jumamosi na siku ya jumapili sherehe zitaamia jijini Dar es salaam.

Yanga, Yanga Sherehe Kuanzia Mbeya, Meridianbet

Siku ya jumapili baada ya mapokezi makubwa na ya kihistoria mabayo Yanga pamoja na mashaniki wake wamepanga kuyafanya baada ya kusubiri kwa misimu minne, wanakwenda kuigeuza Dar es salaam kuwa njano na kijani.

Baada ya mapokezi na kuzunguka na gari la wazi mchana kutwa kusherea ubingwa, usiku Yanga na mashabiki wake wataamia kwenye sehemu maarufu jijini Dar es salaam ya burudani, Beach kidimbwi huko ni mpaka majokoo yatakapo wika.

Pia yanga na mashabili wake wa jijini Mbeya wamefanikiwa kuwa wafariji kwa kutembelea hospitali ya rufaa kanda ya mbeya, ambapo wamefanikiwa kutembelea hodi ya watoto na kutoa msaada ya vitu mbalimbali.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa