Klabu ya Yanga ndio klabu pekee mpaka sasa ambayo inashiriki ligi kuu ya NBC Premier League ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi baada ya kucheza michezo 28 mpaka sasa.

Yanga leo ameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga Polisi Tanzani kwa magoli 2-0 huku magali ya wana wa jangani yaikiwekwa kimyani na Salum ambaye alifunga goli la mapema kwenye dakika ya 13 na Ushindi kumaliza shughuli dakika 18 kipindi cha kwanza.

Yanga, Yanga Kumaliza Ligi Pasipo Kufungwa?, Meridianbet

Yanga imebakisha michezo miwili ili kumaliza ligi, lakini mpaka sasa hakuna wa kuweza kumzuia kwa wale wenzangu na mimi tuliosoma kayumba tunaikumbuka ile hadithi ya nani kumfunga paka kengerere?

Yanga anatarajia kusafiri kwenda mbeya kwa ajiri ya mchezo wake dhidi ya Mbeya City kabla ya kurejea kumalizana na Mtibwa Sugar, Je nani kati ya Mbeya City na Mtibwa Sugar atamfunga Kandambiri? au ndio tutarajie kile kilichotokea kwa Simba kutobolewa mbele ya hayati rais magufuli!


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa