Usijali sana endapo mkeka utachanika kwa gemu moja sasa, ukiwa na Meridianbet ambapo utaweza kurejeshewa pesa yako endapo utapoteza gemu moja kati ya zile ambazo umebashiri kwenye mkeka wako, unachotakiwa kufanya ni kuchagua mechi zako mfano 5.
Lakini unatakiwa kubashiri mechi zaidi ya moja kwani promosheni hii ni wale ambao watabashiri mechi zaidi ya moja, lakini pia hutakiwi kuweka machaguo mengi kwenye gemu moja. Mfano kuweka labda Real Madrid ambaye anacheza dhidi ya Sevilla, ashinde halafu tena uweke Madrid apate magoli mawili kwenye mkeka huo huo.
Vilevile, unatakiwa kutumia pesa halisi ambayo umeweka na sio kubashiri kwa kutumia pesa ya bonasi ambayo Meridianbet wamekupatia na pia promosheni hii ni kwaajili ya mikeka iliyopoteza mechi moja pekee.

Baada ya hapo sasa, kama unataka kujua ushindi unapatikanaje, zidisha jumla ya ODDS za mechi ambazo zimeshinda pekee, huku ukikumbuka kuwa ODDS za bonasi hazihesabiwi, kisha zidisha kwa namba iliyoainishwa kweny jedwali la muongozo kulingana na idadi ya mechi zilizopo kwenye tiketi.
Jua kuwa hesabu ya ODDS za mechi zilizoshinda haijumuishi ongezeko la bonasi ODDS zilizojumuishwa kwenye kila ODDS za mechi zilizoshinda.

