Je unajiuliza utawezaje kuchukua pesa yako kweny mechi zako ulizobashiri na bado zinaendelea? Usijali ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana na hauna haja ya kusubiri kutoa pesa zako.

 

Chukua Pesa Yako Muda Wowote Ukiwa na Meridianbet.

Mechi ikiwa inaendelea huku ukiwa umebashiri mechi hata 5 au 10 na kwenye huo mkeka wako mechi kadhaa zikiwa zimekwishachezwa au zinataka kuanza unaweza “Kuturbo Cash”. Mfano kwenye mkeka wako kuna mechi ya Spurs dhidi ya Newcastle.

Mfano umebashiri mechi zako 6 na timu zako nne zinacheza muda mmoja labda saa 2 kamili na zingine mbili zinakuja kucheza saa 4 na nusu wewe unachotakiwa kufanya kama una haraka na pesa yako unaweza kufanya hivyo huku ukiachana na zingine.

Kumbuka kuwa kama mkeka wako wa mechi 6 ulizoweka na ulikuwa ukitarajia kupata laki moja na ukaweza kuturbo hela ambayo utapata haitakuwa sawa na ile ambayo uliiwekea kwaajili ya kubashiri mkeka wako na Meridianbet.

Chukua Pesa Yako Muda Wowote Ukiwa na Meridianbet.

Na sehemu pekee ya wewe kuweka jamvi lako ni Meridianbet pekee ambapo huku kuna ODDS nzuri na zenye kuvutia unazoweza kuweka kwani kuna machaguo zaidi ya elfu moja hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa