Meridianbet: Bofya Mara Moja Tu, Uibuke Mshindi wa Simu

Kila mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao.

Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao. Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii?

Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya kushinda, simu mbili aina ya Sumsang Flip Z zikiwa mezani, tayari kwa kuchukuliwa na mshindi.

Bila shaka hii inaweza kuwa yako, muhimu ni kufuata maelekezo tuu! Promosheni hii inawahusu wateja wapya wanaojisajili kuanzia tarehe 17 Oktoba mpaka 18 Novemba mwaka huu.

 

Meridianbet: Bofya Mara Moja Tu, Uibuke Mshindi wa Simu

Promosheni hii imeambatana na zawadi zingine lukuki. Mshindi atatazamwa kwa hesabu ya tiketi zake za jumla alizocheza kwa kipindi cha promosheni.

Washindi wana nafasi ya kupambania ushindi katika makundi mawili, upande wa ubashiri wa kawaida na upande wa kasino ya mtandaoni.

Kwa Upande wa Ubashiri wa michezo washindi watashinda kwa mpangilio wa nafasi zifuatazapo pamoja na nafasi zao, hii inaweza kuwa yako.

Mshindi wa kwanza kwa upande wa ubashiri wa michezo, atashinda Simu aina ya Samsung Z Flip 4, nafasi ya pili atashinda bonasi ya ubashiri ya shilingi 250,000, nafasi ya tatu bonasi ya shilingi 200,000 na nafasi ya nne na ya tano ni bonasi ya 100,000 TSH.

 

Meridianbet: Bofya Mara Moja Tu, Uibuke Mshindi wa Simu

Mshindi wa kwanza kwa upande wa ubashiri wa kasino ya mtandaoni, atashinda Simu aina ya Samsung Z Flip 4, nafasi ya pili atashinda mizunguko 200 ya bure, nafasi ya tatu tashinda mizunguko 150 ya bure na nafasi ya nne na ya tano atashinda mizunguko 200 ya bure.

Tunakukumbusha pia kuwa Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!

Acha ujumbe