Robert Lewandowski ameshinda Kombe la Gerd Muller kwa kufunga mabao 57 kwa klabu na nchi msimu uliopita na hayuko tayari kukwepa changamoto ya kuandamwa na Erling Haaland katika kampeni ya …
Makala nyingine
Golikipa wa Real Madrid Thibaut Courtois ametawazwa kuwa golikipa bora zaidi Duniani na France Football hapo jana alipotwaa Kombe la Yashin 2022. Tuzo hiyo, iliyokabidhiwa kwa kipa bora wa …
Kinda wa timu ya Barcelona, Gavi ameshinda Tuzo ya mchezaji bora chipukizi hapo jana kwenye tuzo za Ballon d’Or zilizofanyika jijini Ufaransa. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 18 …
Kiungo wa kati wa Barcelona na Uhispania Alexia Putellas ametwaa tuzo ya Ballon d’Or ya Wanawake kwa mara ya pili mfululizo huku akiichukua mwaka jana pia. Putellas alitambuliwa mwaka …
Mchezaji wa zamani wa Liverpool na sasa Bayern Munich Sadio Mane ametwaa tuzo ya Socrates kwenye tuzo za Ballon D’OR zilizokuwa zinatolewa hapo usiku wa jana nchini Ufaransa. Sadio …
Kocha wa Lazio Maurizio Sarri aliangazia masuala yake na soka ya kisasa, akilalamikia ratiba ya mechi iliyojaa. Michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar msimu huu wa baridi kali …
Mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema anatarajiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora Duniani baada ya kuwa na msimu mzuri uliopita kwa kuchukua makombe mbalimbali ikiwemo kombe La UEFA, Taji la …
Klabu ya Yanga imerejea nchini hii leo kutokea Sudan ambapo walikuwa wageni kwenye mchezo wa klabu bingwa dhidi ya Al Hilal ambapo walipoteza kwa agg ya 2-1 na hivyo sasa …
Mchezaji wa Bayern Munich Eric Maxim Choupo-Moting amejizolea sifa kemkem kutoka kwa kocha wake, Julian Nagelsmann baada ya kucheza kwa kiwango bora hapo jana kwenye mchezo wao dhidi ya Freiburg …
Klabu ya Manchester United wameungana na Chelsea katika mbio za kumnasa mshambuliaji wa AC Milan Rafael Leao mwenye umri wa miaka 23. Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Ureno, amebakiza miezi …
Beki wa timu ya wanawake Liverpool, Gilly Flaherty ameweka wazi kuumizwa na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ya kumlenga kwa unyanyasaji huku akisema amechukizwa na kitendo hicho na amesema kuwa …
Mchezaji wa Psg Kylian Mbappe mwenye umri wa miaka 23 na raia wa Ufaransa ameweka wazi kuwa ripoti iliyokuwa ikisambaa kuwa anataka kuondoka klabuni hapo Januari sio za kweli. …
Klabu ya Yanga ya Tanzania ambayo ipo chini ya kocha mkuu Nasrideen Nabi imetupwa nje kwenye michuano ya Klabu Bingwa hapo jana dhidi ya Al Hilal ya Sudan kwa aggregate …
Klabu ya Azam Fc ambayo makao makuu yake yapo Chamazi imeondolewa kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa kwa Agg ya (3-2) na timu ya Al Akhadar …
Ikiwa ni wikiendi tulivu kabisa ya Jumapili, mbilingembilinge za soka Duniani zinaendelea huku kukiwa na mechi kibao ikiwemo ya Simba, Lakini Ligi mbalimbali zinazoweza kukupatia pesa ikiwemo zile za Afrika …
Inasemekana klabu ya AC Milan walivutiwa na Ruben Loftus-Cheek katika pambano lao la hivi majuzi la Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Chelsea na wameanza kutafuta dili linalowezekana la …
Mshambuliaji wa Tottenham, Richarlison amekiri huku akitokwa na machozi kuwa anahofia jeraha alilopata katika ushindi wa hapo jana dhidi ya Everton huenda likakatiza ndoto yake ya kuiwakilisha Brazil kwenye Kombe …
Klabu ya Liverpool itapambana na Mashetani Wekundu Manchester United kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona Frenkie de Jong ambaye siku si nyingi ameonekana kutokuwa na furaha klabuni hapo. De …
Mchezaji wa RB Leipzig Christopher Nkunku ndiye mchezaji wa moto zaidi wa soka la Ujerumani kwa sasa na Chelsea wanaonekana kumpata nyota huyo wa RB Leipzig dirisha dogo la usajili …
Edinson Cavani aifungia timu yake mpya Valencia mabao mawili hapo jana katika sare ya 2-2 na Elche huku yakiwa ni ndio mabao yake ya kwanza toka ajiunge na timu hiyo …

