Massimiliano Allegri alimewaachilia wachezaji wake wa Juventus kwenda nyumbani na “kuwakumbatia familia zao” baada ya kushinda mchezo wao wa jana wa Dabi ya Della Mole kwa bao 1-0 dhidi ya …
Makala nyingine
Kipa wa Atletico Madrid Jan Oblak hakukumbuka kilichotokea na atawekwa chini ya uangalizi baada ya “kuchanganyikiwa kidogo” katika ushindi wa 1-0 wa hapo jana kwenye LaLiga dhidi ya Athletic Bilbao. …
Antonio Conte azidi kujivunia maendeleo ya Tottenham baada ya kupata pointi 3 muhimu hapo jana dhidi ya Everton kwa kuitandika mabao 2-0 huku mabao hayo yakitupiwa kambani na Harry Kane …
Timu ya TP Mazembe imemtimua Kocha wake Franck Dumas, baada ya kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika hapo jana. Mazembe imeondolewa hapo jana na …
Kocha wa Salernitana Davide Nicola anaamini kuwa Inter ndio timu bora zaidi katika Serie A na amethibitisha kwamba Federico Fazio ataukosa mchezo wa kesho huko San Siro. Nerazzurri wanarejea …
Klabu ya Leicester City imeshindwa kutamba nyumbani kwake baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana na vijana wa Patrick Vieira Crystal Palace katika mchezo ambao umepigwa majira ya saa nane …
Ligi mbalimbali Duniani zinaendelea leo hii, huku kukiwa na mechi nzuri za kukupatia pesa ndefu mojawapo ikiwa ni mechi ya Kmc dhidi ya Mtibwa inayotarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00. …
Timu ya Mamelodi Sundowns wametinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hapo jana baada ya kuitandika La Passe kutoka visiwa vya Shelisheli kwa mabao 8-1. Mamelodi ya Afrika …
Kocha mkuu wa zamani wa Milan na Italia, Arrigo Sacchi anaamini kuwa Napoli wanaweza kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia mwanzo mzuri ambao wameuonyesha msimu huu. …
Klabu ya Manchester United wanataka kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Joao Felix mwenye umri wa miaka 22 huku ikiripotiwa kuwa mchezaji huyo ana hamu ya kuondoka katika mji huo wa …
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri kuwa Liverpool haiwezi kushindana na wapinzani wake Manchester City na Newcastle United kifedha kwenye Ligi kuu ya Uingereza huku akisema kuwa vilabu vingine vina …
Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Manchester United Gary Neville na sasa mchambuzi wa soka wa Sky sport analingojea pambano la Liverpool na Manchester City kwa hamu huku akisema kuwa Ubaya …
Kocha mkuu wa Brentford Thomas Frank amesema kuwa mchezaji wake Ivan Toney anafaa kuwa Timu ya Taifa ya Uingereza itakayocheza Kombe la Dunia huku mchezaji huyo nae akiunga mkono madai …
Klabu ya Brighton imepoteza mechi ya pili mfululizo toka kuondoka kwa Graham Potter dhidi ya Brentford hapo jana walipokuwa ugenini na walipoteza kwa mabao 2-0. Mpaka sasa hiyo inakuwa …
Mchezaji wa Arsenal, Bukayo Saka amefurahia bao lake lililoipa Arsenal ushindi mgumu wa 1-0 ugenini dhidi ya Bodo/Glimt kwenye Ligi ya Uropa na kuendeleza mwanzo wao mzuri wa msimu huu. …
Baada ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya klabu ya Juventus imelenga kufanya vizuri kwenye mechi yao ya Turin Dabi dhidi ya Torino siku ya Jumamosi majira ya …
Kocha mkuu wa Manchester United Erik ten Hag anatumaini kuwa wachezaji wake wametunza mabao kwaajili ya mechi ijayo, baada ya kuonyesha matokeo mabaya katika ushindi wao wa 1-0 wa Ligi …
Kocha mkuu wa AC Roma Jose Mourinho amevikeji vilabu vinavyofuzu kwa hatua ya mtoano ya Ligi ya Europa kupitia mlango wa nyuma kama ‘papa walioshindwa Ligi ya Mabingwa’. Kikosi cha …
Kocha wa West ham David Moyes amefurahi kuona West Ham ikifuzu kwa hatua ya mtoano ya UEFA Europa Conference League lakini akaionya timu yake kuwa kazi bado haijakamilika baada ya …
Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta anataka kuona maboresho zaidi kutoka kwa Arsenal licha ya kupata ushindi mara sita kwenye historia ya ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Bodo/Glimt kwenye …

