Mazembe Yamtimua Dumas kwa Kushindwa Kufuzu Hatua ya Makundi

Timu ya  TP Mazembe imemtimua Kocha wake Franck Dumas, baada ya kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika hapo jana.

 

Mazembe Yamtimua Dumas kwa Kushindwa Kufuzu Hatua ya Makundi

Mazembe imeondolewa hapo jana na Vipers ya nchini Uganda kwa mikwaju ya Penati mbili kwa nne baada ya michezo yote miwili kutoka sare ya bila kufungana. Hivyo basi moja kwa moja itaenda kucheza Kombe la shirikisho.

Saa chache baadae, klabu hiyo ilitoa taarifa kwa vyombo vya habari, inayosema Rais wake Moise Katumbi na Kocha huyo wamefika uamuzi wa kuachana kirafiki baada ya kushindwa kufikia malengo ya timu yao.

Mazembe Yamtimua Dumas kwa Kushindwa Kufuzu Hatua ya Makundi

Dumas ambaye aliteuliwa July 2021 kuwa Kocha mkuu wa klabu hiyo ya Congo amekuwa akikosolewa kwa mwenendo wake mbaya hasa kwenye michuano ya Afrika.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.