Brighton Yapoteza Mechi ya Pili Mfululizo

Klabu ya Brighton imepoteza mechi ya pili mfululizo toka kuondoka kwa Graham Potter dhidi ya Brentford hapo jana walipokuwa ugenini na walipoteza kwa mabao 2-0.

 

Brighton Yapoteza Mechi ya Pili Mfululizo

Mpaka sasa hiyo inakuwa ya pili baada ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Spurs wakiwa nyumbani. Mabao hayo yalifungwa na Ivan Toney katika vipindi vyote vya mchezo na kuifanya Brentford isogee hadi nafasi ya 8 kwenye msimamo.

Brighton mambo yanakuwa si mambo huku siku si nyingi mchezaji wake muhimu Mwepu amestaafu kutokana na matatizo ya moyo sasa klabu inaanza kupoteza nguvu huku kukiwa na ujio wa kocha klabuni hapo ambae ni Roberto De Zerbi.

Brighton Yapoteza Mechi ya Pili Mfululizo

Mechi inayofuata klabu hiyo itamenyana na Nottingham Forest kabla ya kuja kuumana na Manchester City Oktoba 22. Mwalimu ana kazi ya ziada ya kufanya kikosini hapo kutokana na mabadiliko ambayo yametokea.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.