Juventus Walenga Kufanya Vizuri Mechi Ya Dabi Dhidi ya Torino

Baada ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya klabu ya Juventus imelenga kufanya vizuri kwenye mechi yao ya Turin Dabi dhidi ya Torino siku ya Jumamosi majira ya saa moja, huku Juve akiwa na mgeni wa mchezo huo.

 

Juventus Walenga Kufanya Vizuri Mechi Ya Dabi Dhidi ya Torino

Vijana wa Massimiliano  Allegri wanawania kuibuka na ushindi baada ya kupata kichapo dhidi ya Maccabi Haifa, kipigo ambacho kimewafanya kuwa hatiani kufuzu michuano hiyo kwenye nafasi inayofuata. Wakati huo huo vinara wa msimamo wa Serie A Napoli watakuwa wenyeji wa Bologna, huku wapinzani wao AC Milan wakielekea Verona.

Sasa ni vipigo mfululizo kwa Juventus, ambao wanakabiliwa na kushindwa na AC Milan na timu ya Israel Maccabi Haifa katika wiki moja iliyopita. Lakini mchezo na Torino unaweza kuwa ni wa kurekebisha mambo klabuni hapo . Juve wamepoteza mchezo mmoja tu kati ya mechi 32 za awali za Serie A dhidi ya wapinzani wao wa jiji (walishinda 23, sare nane).

 

Juventus Walenga Kufanya Vizuri Mechi Ya Dabi Dhidi ya Torino

Kikosi cha Ivan Juric kitahitaji umakini wa pekee kwa Juan Cuadrado, ambaye amehusika katika mabao 11 ya Serie A dhidi ya wapinzani wa Jumamosi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.