Ikiwa ni wikiendi tulivu kabisa ya Jumapili, mbilingembilinge za soka Duniani zinaendelea huku kukiwa na mechi kibao ikiwemo ya Simba, Lakini Ligi mbalimbali zinazoweza kukupatia pesa ikiwemo zile za Afrika zinazoshiriki michuano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.

Wakiwa ugenini Simba Sc waliweza kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Primeiro De Agosto huku mchezo wa leo ndio utakaoamua nani kwenda hatua inayofuata ambayo ni ya makundi.
Basi ili Jumapili yako iende vizuri bashiri mechi hii hapa ambapo mwenyeji Simba anamkaribisha De Agosto akiwa amepewa ODDS ya 1.44, Sare ikiwa na 3.77 Primeiro ambaye ni mgeni amepewa 6.27. Bashiri mechi hii sasa.
Ukiwa huna intaneti usijali bonyeza *149*10# uweze kubashiri mechi nyingine kali leo ya Real Madrid ambaye yupo Berna Beu akimualika Barcelona huku wote wakiwa na pointi sawa 22, Lakini tofauti yao ikiwa ni mabao ya kufungwa na kufunga. Madrid na vijana wake wana ODDS ya 2.30, Sare ina 3.57, Wakati Xhavi na timu yake wakiwa na ODDS ya 2.89.

Unaachaje kuchungulia pale Uingereza? Leo Anfield litatimuka vumbi kubwa hatari ambapo Liverpool baada ya kucheza michezo 8 na kushindi miwili leo anamkaribisha Manchester City ambaye hashikiki kwasasa huku Haaland akiwapa salamu walinda mlango aliokutana nao. Je Van Dijk atafanyaje leo kumzuia Mshambuliaji huyo hatari? City amepewa ODDS ya ushindi ya 2.01, Sare 3.82 Majogoo wakiwa na ODDS ya 3.43.
Ukitoka hapo ruka hadi Jiji la Ufaransa ambapo wababe wa Ligue 1 PSG wanamkaribisha Marseille huku timu zote zikishindwa kupata pointi 3 michezo yao ya mwisho. Psg ana ODDS ya kushinda mechi hii akiwa na 1.50, Sare imepewa 4.60, Marseille ana 5.68.

Hata ukiwa na kitochi unaweza kubashiri na kujiweka kwenye nafasi ya kupiga mkwanja ukiwa na Meridianbet pekee kwani unapata ODDS nzuri na zenye kuvutia. Bashiri sasa.

