Jimenez Avunja Rekodi Ya Chicharito EPL.

Raúl Jiménez (alizaliwa 5 mei 1991) ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu  ya Uingereza Wolverhampton Wanderers, kwa mkopo kutoka Benfica, na wa timu ya taifa ya Mexico.

Raul amefunga bao lake la 14 siku ya Jumamosi Wolves walipochezana dhidi ya West Ham  United na kuivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Javier Hernandez na kuwa Mmexico aliye tupia wavuni goli nyingi kwa msimu mmoja katika ligi ya EPL

Alianza kazi yake katika mfumo wa vijana wa klabu ya América kabla ya kuanza katika msimu wa kwanza mwezi Oktoba 2011. Alishinda michuano yake ya kwanza na América mwaka 2013.

Mnamo  mwezi Agosti 2014, Jiménez aliuzwa kwa klabu ya Hispania Atlético Madrid. Ambao walikuwa mabingwa wa ligi. Baada ya msimu mmoja aliuzwa Benfica, ambako pia alishinda mataji mengi ya ligi.

Novemba 24 Jimenez alifunga magoli mawili kwa mara ya kwanza katika ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) dhidi ya Astana walipo kwenda sare ya 2-2.

Mwaka 2018 alitua Wolverhampton Wanderers kwa mkopo akitokea Benifica kwa uhamisho wa ada ya yuro milioni 3 na kipengele kinacho waruhusu kumnunua moja kwa moja kwa dau la yuro milioni 38 kama wakimtaka.

61 Komentara

    Duuuh

    Jibu

    Safi sanaaa naimani wote wanafanya vizuri pamoja na kuvunja rekodi hizo

    Jibu

    yupo vizuri uyu jamaa

    Jibu

    Ninamkubali sana ni mchezaji mzuri hongera kwake#meridianbett

    Jibu

    Jimenez mchezaji chipukizi hanaye vutiwa na clabu nyingi

    Jibu

    Duu hatar ila chicharito j.harnandez alikua mtu mbaya sana kwenye magoli ya kuvizia ila kwa hii VAR kwel angeweza kutusua maana VAR noma sana

    Jibu

    Jimenez bado atawika sana msimu huu ndani ya Wolves

    Jibu

    Raul yupo vizuri sana anapokuwa uwanjani hataki kufanya makosa kabisa

    Jibu

    Nimemkumbuka chicharito

    Jibu

    Namkubali kinoma huyojamaha chacharito anajua

    Jibu

    Ni makala nzuri sana ila sijaielewa.

    Jibu

    Juhudi zake ndio zimemfikisha alipo sasa mpka kufikia hatua ya kuvunja rekodi ya chicharito

    Jibu

    Namkubali Sana chicharito

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    Jamaa inamkubali yuko vizuri

    Jibu

    Huyo jamaa namkubali sn

    Jibu

    Raúl Jiménez ana nafasi ya kufanya vzr zaidi kuisaidia Wolves kumaliza msimu wa pili wakiwa nafasi za juu hadi kucheza Europa league#meridianbettz

    Jibu

    Yuko vizuri uyo jamaa

    Jibu

    Ashaivunja kikichobakia Sasa ni kuweka yake yeye nao wengine wake waivunje

    Jibu

    Raul mchezaji mzuri awapo uwanjan

    Jibu

    Raul fundii

    Jibu

    Chicharito hakuwa mzuri sana labda kutokana alicheza chini ya sir Ferguson ndo maan tukaona ni mzuri

    Jibu

    Jimenez mfungaji mzuri kwa sasa na anastahili kuvunja rekodi na mengi magoli bado atafunga,@meridianbettz asante kwa habari nzuri za kimichezo

    Jibu

    Raul jimenez ni mchezaji mzuri sana upande wangu na anajituma sana licha ya kucheza club ndogo sana kuliko na chichalito aliekipiga man u.pia anauwezo wa kuvanja rekodi hiyo ambaye alieishikilia chichalito coz bado anauwezo wakucheza timu yoyote kubwa na yenye mafanikio pale uingereza na akafanya vizuri zaid ya chichalito

    Jibu

    Raul fundii

    Jibu

    Jimenez ni mfungaji mzuri na bado umri unaruhusu hivyo ataweka rekodi nyingi sana

    Jibu

    Ametisha zaid

    Jibu

    Jimenez namkubali analijua goli Sana angepata club yeyote kubwa angefanya mengi makubwa

    Jibu

    Hongera sana kwake

    Jibu

    Jimenez anakuja juu Sana katika soka Hadi inaleta raha kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Jimeneze ni mfungaji mzuri sana bado umri unaruhusu#meridianbettz

    Jibu

    Duuh anasitahili pongezi

    Jibu

    R. Jimenez ni mshambuaji hodari sana.. Msimu ujao namuona kabisa kwenye club kubwa#meridianbettz

    Jibu

    Raul Jimenez, jamaa yupo vzr sana muhim wolves wahakikishe wanakaa nae asihame timu atawasaidia

    Jibu

    Hongera Raul

    Jibu

    Raul Jimenez ni mchezaji anayejitambua Sana awapo uwanjani

    Jibu

    mchezaji mzuri hongera kwake#meridianbett

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Kijana yuko vzr anastahili pongezi

    Jibu

    Aisee

    Jibu

    Maoni:Raul fundii jamaa anajua

    Jibu

    Yupo vizuri namkubali

    Jibu

    Jamaa analijua goal sana aisee

    Jibu

    Anajua Sana kufunga uyu jamaa

    Jibu

    Raul ni mchezaji mzuri

    Jibu

    mmh dogo yupo vzr

    Jibu

    Jimenez bado ananafasi ya kutamba zaidi ndani ya Wolves

    Jibu

    Ni mchezaji mzur na tutarajie mazuri mengi kutoka kwake

    Jibu

    Yupo vzr huyu kiungo

    Jibu

    bado rekodi ya kuwafanga sana Chelsea sasa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Namkubali yupo vizur

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Namkubar yupo vizur

    Jibu

    Asante meridian kwa makala

    Jibu

    Hongera yake#Meridianbettz

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Yuko vzur kwa kulinganisha magoli anagol mengi sana ila kumpiku chicharito kwa rekod labda ya magol tu lakin kwa upande wa kiungo mshambuliaji Jimenez amuwez chicharito kwa uwezo uwanjan
    Hv nice update 👍
    # meridianbet

    Jibu

    Jamaa fundi sana

    Jibu

    Fundiii

    Jibu

Acha ujumbe