Van Dijk Avionya vilabu Vya EPL.

Virgil van Dijk amesema kwamba Liverpool inaenda kuwa bora na kutawala amevionya vilabu vya Ligi ya Uingereza. Liverpool wapo kileleni mwa ligi ya EPL kwa tofauti ya alama 22 huku zikiwa zimesalia mechi 9 ligi kumalizika.

Siku ya juni 21 Liverpool watakutana na Everton ikiwa ni mchezo wao wa kwanza tangu kurejea kwa ligi ya EPL baada ya kusimama kwa muda kufuatia kutokea kwa virusi vya Korona Liverpool wakialikwa katika dimba la Goodison Park.

“Najua kiasi gani mashabiki wetu wamekuwa  wakisubiri hili,” Van Dijk alisema kupitia Daily Mail “Kwa bahati mbaya hawatapata kushuhudia hili kama likitokea, tumeona vilabu vingine katika mataifa meingine wakishinda mataji bila uwepo wa mashabiki uwanjani.

“ Kwangu mimi kushinda taji la Premier League na kulinyanyua juu ingekuwa nikutimiza ndoto. Mwaka jana tulikaribia kulipata kombe hili lakini mwaka huu tupo karibu sana, tuna michezo tisa na tutajitahidi tushinde yote. Hilo ndio lengo letu.

“Kwa ushindi wa michezo miwili tuu, tutakuwa mabingwa wa EPL. Lakini hatutoishia hapo,tunataka kusonga mbele ,tunataka tufanye hivyo na msimu ujao sababu tutaanza msimu vizuri sana baada ya kumaliza msimu huu. Mkurugenzi wetu aliongea nasi vizuri na alisema tucheze vizuri michezo tisa iliyo baki hii itatufanya tuwe na muendelezo mzuri msimu ujao.

“Hatujashinda taji bado. Hatujashinda kitu chochote bado, lakini lengo ni kuuanza msimu unaofuata kwa mtindo ule ule  tulio anzanao msimu huu. Tuna weza kuwa ni timu yenye muendelezo, tuna wachezaji wenye uwezo na kupiga hatua katika maendeleo yao. Kushinda ligi itakua uzoefu mkubwa ambayo inaweza kuwapeleka katika hatua bora.

“Tuta jaribu kuzingatia kwenye michezo tisa iliyo salia natumaini tutakuwa na kasi ya kujianda na msimu mpya tukiwa ni mabingwa na tuweze kulitetea taji.

Tangu mwaka 1990 Liverpool hawajaweza kushinda taji la EPL hivyo wakifanikiwa kushinda taji msimu huu itakuwa ni taji lao lao la kwanza ndani ya kipindi cha miaka 30. Pia mashabiki hawatokuepo uwanjani kutokana zuwio lililowekwa na Serikali ya nchi hiyo  sababu ya kuwepo kwa Virusi vya Korona.

 

 

56 Komentara

    Asanten kwa taarifa meridianbet.

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Anajidanganya tu nilikuwa na mabeki wenye uwezo kuliko yeye na hajawahi kusema hivyo

    Jibu

    Natamani kuona Liverpool ikichukua Ubingwa msimu huu. Imefanya bidii nyingi kufikia hatua hii#meridianbettz

    Jibu

    Van Dijk yupo sahihi watajitahidi sana na wasilegeze kamba katika mechi hizo tisa silizobaki waweze kufikia lengo lao la kunyanyua kikombe msimu huu

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Ahsant sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Huu ni msimu wa Liverpool kutawala kwani wachezaji wengi wanaonekana kuchoka sasa na kama leo wanapigwa na Everton hivi #meridianbettz

    Jibu

    Kwa msimu huu kila mtu kakubali ila msimu ujao wajipange sana

    Jibu

    Mechi zilizobakia nichache sana hivyo bhasi wakishinda game yao na everton watakuwa pazuri maana watakuwa mbele kwa tofauti ya pwenti 25 dhidi ya wapinzani wake man city,michezo iliyosalia ni michezo 9 ina jumla ya pwenti 27 kama liverpool atashinda game tatu mfululizo itakuwa haina haja atatawazwa na kuwa bingwa wa EPL so ngoja 2one kwanza na everton

    Jibu

    Asante kwa habari#meridianbettz

    Jibu

    Livepool wapo poa sana yupo sahihi

    Jibu

    Safi kabisa

    Jibu

    Van Yuko sahihi kwani Liverpool kwa Sasa inawachezaji wazuri na waliokaa pamoja zaidi ya misimu miwili so chemistry yao iko vizuri watasumbua Sana EPL kwa misimu ijayo

    Jibu

    Kwamsimu huu kilamtu kakubali ila msimu hujao wajipange kisawa sawa

    Jibu

    Uko sahihi liverpool iko powa sana

    Jibu

    Nataka kuona Liverpool wanachukua ubingwa msimu huu na misimu miwili ijayo

    Jibu

    Kwa msimu huu Kila mtu kakubali ila wajipange kwa msimu hutakaokuja#meridianbettz

    Jibu

    Tnx meridian kwa taarifa za kimichezo

    Jibu

    Liverpool lazima ifanye vizuri Sana sababu kocha wao anajua no jinsi gani ya kupangilia wachezaji wake kwa umakini hatumii pupa

    Jibu

    mpira dk 90 ngoja tuone hatutaki maneno maneno

    Jibu

    Inabidi wakaze buti

    Jibu

    Van dijk hajakosea huu mwaka wao wamefanya vzr wamesota sana mpk hapa walipo fikia sasa kiukweli wana stahili sifa ila sasa wasijiongopee kwa msimu ujao maana kila timu inaji.imalisha sasa kwa ajili ya msimu ujao bingwa mpk sasa tayar Liverpool kwa mech zilizobak kua bingwa n chache.ila kwa kusema mpk msimu ujao atakua moto hilo asahau vilabu kibao vinafanya usajili wa kina mnoo ili kue na ushindan wa maana msimu huu sawa ila sio msimu ujao

    Jibu

    Liverpool watatamba sana wakichukua ubigwa mana hasaivi hawajachukua lakini wanatamba ila wachukue tu mana wamejitahidi sana kuonyesha ujuzi wao uwanjani

    Jibu

    Next msimu utashindana & man utd.. Najua msimu huu ni wenu tusubili msimu ujao timu zitAjipanga je! #meridianbettz

    Jibu

    Liver msimu huu watachukua tu.

    Jibu

    Ki ukweli wana staili sifa ila sasa wasijiongopee kwani kila timu inajiamalisha kwa ajili ya msimu ujao

    Jibu

    Van dijk yuko sahihi sana

    Jibu

    Van Yuko sahihi kabisa pia wakubali ama wakatae Liverpool ni mabingwa tuu msimu huu

    Jibu

    Thnks meridian bet kwa information

    Jibu

    Mie naamini wakikaza butii ushindi ni lazima wauchukue tripu hii Liverpool wataongoza

    Jibu

    Duuh EPL kazi wanayo safari hii

    Jibu

    Maoni:liverpool jeshiii

    Jibu

    Axante kwa habar

    Jibu

    Future Capitain kaongea VVD best of lucky kwa chama langu

    Jibu

    Kwa msimu ujao siwaon Liverpool

    Jibu

    Liverpool ubingwa ni wao

    Jibu

    kiufupi livepool ubingwa upo mikononi nasio timu ya kumuacha mtu dimbani ni kichapo

    Jibu

    Kiufupi tuu Liverpool hana mpinzani msimu huu na ni Bingwa tayari

    Jibu

    Kwa msimu huu Liverpool nyota imeghara

    Jibu

    Liverpool hana mpinzani

    Jibu

    Taarifa Safi na meridian bet

    Jibu

    liver nao wanaanza kimdomo mdomo kama arsenal

    Jibu

    Hakuna mpinzani liverpool

    Jibu

    Liverpool hana mpinzani

    Jibu

    Acha wachukue tu mana wamelisotea sana#Meridianbettz

    Jibu

    Liverpool jeshi la mtu mmoja

    Jibu

    Liverpool jeshi kubwa

    Jibu

    Liverpool wanamalizia vizuri ushindi utaenda kwao

    Jibu

    Asijiamini sana kwan alama 22 si kitu maana wamebakiza mechi 9 matokeo yanaweza kubadilika kwan hawakumbuki msimu uliopita walivyoanza vizur wakaja kukuta mabadiliko baadae japo anaweza kusema kwakuwa yeye ni beki lakini mpira unamabadiliko Liverpool wasijitanfazie ubingwa mapema kiasi hicho

    Jibu

    Imefanya bidii nyingi kufikia hatua hii#meridianbett

    Jibu

    Bonge la makala#meridian

    Jibu

    Ushindi kwa Liverpool

    Jibu

    Tuna imani na liverpol

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.