Klabu ya soka ya Ufaransa, Olympique de Marseille imetoa uzi wake ambao utavaliwa na akina Dimitri Payet pamoja na Florian Thauvin kwa msimu wa mwaka ambapo hao jamaa wa OM ni wa kwanza kufanya hivyo.
“Uzi huu umetokana na mandhari ya jiji la Marseille,” kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, jezi ya nyumbani ina rangi bomba ya weupe pamoja na ubluu wakati jezi ya ugenini ina rangi ya maji ya bahari ambapo inalenga kuonesha upekee wa mandhari za jiji la Marseille.”
Angalia picha hizi chini:



mwakalosi
puma kajitahidi ila bado wa arsenal ni uzi bora hadi sasa japo wana timu mbovu
Rehema Dickson
Uzi mkali sana huu wamejitaidi kujubun
Fatuma kasomo
Kajitahidi ila arsenal wanatim mbovu
Antony Luseno
Uzi wao mzuri sana natumai kikosi chao nacho kitakuwa bora
Zeiyana
Uzi mzuri labda unaweza ukatubadilishia matokea..!tukiachia mbali uzi mwekundu
Khadija
Uzi mzuri labda unaweza kubasilisha matokeo#meridianbettz
Devotha
Jezi nzuri
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Ester mmakasa
Uzi uko vizuri sana na matokeo yatakuwa mazuri pia.
felister
safi uzi umetulia wamejitaidi kubuni
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Uzi umekaa mahara pake
Genia Sikaluzwe
Jenzi imekaa poa
Omary lukumbi
Jez bomba sana alafu humchukiz mtu uko safi sana
Mariam mtandama
Safi
Elika
Uzi umetulia sanaaaa
Johnmary joel
Jinsi uzi unavyoonekana nafikiri na wenyewe wamejipanga vizuri#meridianbett
Caroline
Jezi nzuri sana
Dorophina
Uzi uko poa htr inangaa vby wajitahidi na kikosi kiwe imara
Ester jackson
Uko powa sana ila bado haujafikia Uzi wa Chelsea
Samira
Puma kajitahidi huu uzi ni bomba sana
Jullie
uzi ni ule ule
Sadick
Uzi bomba lakini mwisho wa siku tunataka burudani ya ushindi uwanjani, hiyo ndio raha ya mashabiki#meridianbettz
Samiah
Uzi mzuri sana kwani Puma wamejitahidi
David Pere
Uzi umetulia sanaa natamani ningekuwa na pesa ningejtafuta niupate
Neema hassan
Asante kwa habari#meridianbettz
Rehema
Good new
Evaluziga
Jezi imetulia
Njiku
Bonge la jezi ila unaweza ukawa na jezi nzuri ukachezea kichapo ila jezi nzuri hakunaga uzi mbaya kwa soccer
Issa
Uzi mzuri hauna kasoro
isha
Jezi safi
Furahav
Jezi iko vizuri.
Kenani
Uzi mkali
Shafii
Nimeukubali Uzi wao uko bomba sana
Magdalena
Jambo jema Sana ili na watapata pesa nzuri tu sababu ata sisi mashabiki tutakuwa na moyo wa kutamani kununua
Christopher
Uzi umekaa poa sana
Hamidu
Jezi imekaa poa sanA#meridianbettz
Amani
tunataka burudani ya ushindi uwanjani, hiyo ndio raha ya mashabiki Wala sio uzuri wa jezi #meridianbettz
Theckla
Hakika ni uzi mzuri Sana
Adelta
Jezi nzuri
farida ahmadi
Uzi mzuri Sana huu kwa Marseille Asante kwa taarifa
Mwanahamisi
Jezi pambe
Povel
Uzi mzuri sana
Mwanaidi
Vizuri sana
Neema
Uzi mzuri sana na unavutia
Hope mwaikuka
Jezi kalii
Sabrina
Maoni:uzi nimeuelewa
Frank Patrick
Uzi mkali sana razma niutinge
Amiri Kayera
Jezi zao nzur san
Edgar
yap uzi upo vzr ila na uwanjani pia wawe vzr
Ernest
Uzi umetulia sana nahisi utaleta bahati pia kwa Marseille
Tahiya
Uzi uko vizur
Latifa juma mohamed
Ipo poa
Adelta
Jezi nzuri
warda
Duuu uzi mkali sana#Meridianbettz
tumaini
Maoni:jezi nziri
Gabriel
Uzi wakawaida sana hauna maajabu maana ukiangalia jez za club nyingine zilivyokuwa na ubunifu iko poa sana kwa upande wang umekaa wakawaida sana
Salma
Iko vizuri
Theonestina
Naupenda Sana huo uzi
Mwajuma
Uzi upo vizuri washindwe wao
Asia Abdy
Uko vizur sana
Angelina
Uzi mkaliiii