Manchester City Wana Mbadala wa Sane!

Manchester City tayari wameanza kuweka sawa mpango wao juu ya kupata mrithi wa nafasi ya Leroy Sane klabuni hapo. Klabu hii tayari imeripotiwa kuwa imeanza mazungumzo na Bayer Liverkusen kumnasa winga ambaye pia anafukuziwa na Chelsea na Man United.

Sane alirejea rasmi dimbani kwenye mechi dhidi ya Arsenal, baada ya kukaa nje ya uwanjwa kwa takribani mwaka mzima kwa sababu ya jeraha la goti alilokuwa nalo. Hata hivyo, anaonekana kuwa hana mpango wa kusalia City kwa mda mrefu.

Hatimaye City Wakubali Kumuacha Asepe
Sane tayari ameshakataa kuongeza mkataba

Meneja wa Manchester City, Guardiola aliweka wazi kuwa staa huyu hakukubali kusaini mkataba mpya kabla ya kupata jeraha. Na hata baada ya jeraha staa huyu hakusahawishika kuongeza mkataba.

Inakumbukwa City walikataa ofa ya £80m kutoka Bayern, msimu wa joto uliopita. Kwa sasa wanatarajia kupata dau dogo zaidi kama watamuuza.

Manchester City Wana Mbadala wa Sane!
Leon Bailey anafikiriwa kuwa mrithi wa Sane

Guardiola ametajwa kuwa anamfikiria Leon Bailey wa Bayer Liverkusen kuchukua nafasi ya Sane. Mchakato wa mazungumzo tayari umeanza. Na nyota huyu, raia wa Jamaica tayari ameshatajwa kuwa yupo tayari kuungana na Guardiola ikiwa dili litakamilika.

56 Komentara

    Ni mchezaji mzur wakifanikiwa kumpata

    Jibu

    Ni mchezaji mzuli wakifanikiwa kumpata#meridianbettz

    Jibu

    Nimchezaji mahiri

    Jibu

    Yupo vizur

    Jibu

    Kwa sane kaona kua hana nafasi kubwa kwenye kikosi cha kwanza mara nyingi yeye hua anatokea sub tuu au hachez kabisa laona bora aende zake kule atakapo pata muda mzr wa kucheza mara kwa mara

    Jibu

    Asante kwa makala meridian

    Jibu

    huyu leon bailey si alikuwa anacheza na samatta kule genk

    Jibu

    kwanza mara nyingi yeye hua anatokea sub tuu au hachez kabisa laona bora aende zake kule atakapo pata muda mzr wa kucheza mara kwa mara

    Jibu

    Bora aende zake kule atapata muda mzur wakucheza

    Jibu

    Ni mchezaji mahili

    Jibu

    Bola tu mumsajili Leon bailey tayali kashakubali naimani man city itaendelea kutupa matokea mazuri haina haja ya kumbembeleza mtu tayali kashakataa

    Jibu

    Ahsante kwa makala #meridianbettz

    Jibu

    Leon Bailey ni mchezaji mzuri na ataziba vizuri nafasi ya sana nakikosi cha man city kitazidi kuwa bora

    Jibu

    Wazungumze nae tena anaweza kukubali kuongeza mkataba.

    Jibu

    naimani man city itaendelea kutupa matokea mazuri haina haja ya kumbembeleza mtu tayali kashakataa

    Jibu

    goods news

    Jibu

    Ni fundi wa mpira

    Jibu

    Wakifanyikiwa kumpata itakuwa vizuri kwasababu huyo dogo anajua

    Jibu

    Hapo ni makubaliano tu mbele ya pesa hakuna kinachoshindikana.wafanye juhudi zao naimani watampata tuu

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Ni vizuri pia kueheshimu maamuzi yake kama hataki kuendelea wamuache#meridianbett

    Jibu

    Sema watammis sane

    Jibu

    Ni bora ahamie kwingine akaendeleze kipaji chake sio kumuweka benchi mda mwingi

    Jibu

    Sane yeye mwenyewe anaitaji kwenda club tofauti na man city ili aonyeshe kipaji chaje zaidi kuliko kuu bench tu

    Jibu

    Sane ni mchezaji mzuri Sana wampambanie wampate

    Jibu

    Wanaye mbadala wake Ndio maana wamemuuza ,Na vilevile wajerumani huwa wanapenda wachezaji wao wazuri wote wakacheze baryen munich

    Jibu

    Mchezaji mahiri wapande dau kumpata..

    Jibu

    Sane mwenye kipaji chake

    Jibu

    Leroy Sane anataka timu itakayompa nafasi ya kucheza mara kwa mara na kufurahia soka sio mshahara. Anataka kufurahia soka#meridianbettz

    Jibu

    Sane bado yupo vizuri na atawasaidia ManCity lakini kwa kutafuta changamoto nyingine za maisha anaweza akaenda kwingine na nadhani Byern ndio wanamnyemelea kwa ukaribu

    Jibu

    Sane yupo vizuri sana katika kalia yake ya soka pia kubadili mazira ya kisoka kwa wachezaji jambo la kawaida sanaa tumeona mastaa kibao wakiama club kwa club pia guardiola kama atamnasa nyota huyo mwenye asili ya jamaca leon bailey atakuwa ameziba pengo la sane ila kama ataendana na mfumo wa man city kama alivyokuwa anapiga sana kwa upande wake

    Jibu

    Itakua poa sana

    Jibu

    Kila la kheri city katika harakati za kimnasa kiungo uyo

    Jibu

    Hiyo ndo falsafa ya wachezaji wengi wa kijerumani hua wanapenda Sana wakacheze kwao

    Jibu

    Ni mchezaji ambae yuko pw

    Jibu

    Wapambane ili wampate maana chelsea & man utd wamezamilia kufanya usajili mkubwa#meridianbettz

    Jibu

    Safii sana sane bora uondoke wamezidi kukuweka bench kama wanakuweka hivyo kipaji chako kitaonekanaje nenda kungine ukapate nafasi ya kucheza sio kukaa bench hata kama unalipwa hela nzuri

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    nafasi ya kucheza mara kwa mara na kufurahia soka sio mshahara. Anataka kufurahia soka#meridianbettz

    Jibu

    Kama man City ikafanikiwa kumapata itakuwa wamepata mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Thnks kwa update

    Jibu

    Ni mchezaji anayejikubali kwa ushindi wajitahidi wasimkosee huyo

    Jibu

    Mchezaj namkubal

    Jibu

    Maoni:wamuache akalisakate kabumbu mbele kwa mbele

    Jibu

    Bailey amekuwa mchezaji wa tetesi sana naee

    Jibu

    Pale city naon ata akiondok mbadala yupo

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Guardiola naona bado hana matumaini makubwa na Mahrez nahisi kutokana na style yake ya uchezaji hamuoni kama mtu wa kazi.

    Jibu

    Watapata tu hawajachelewa#Meridianbettz

    Jibu

    Watampatatu wasikate tamaa

    Jibu

    Nilijua sane hawez kuongeza mkataba maana wachezaji wengi wa kijeruman Wana tabia ya kumalizia ligi wakiwa nyumban na kuhusu mrithi wa sane upande wa Leon Bailey yuko vzur sana tumeshaona maajabu yake mengi akiwa Bayern liverkusen na mchango wake Kama kiungo mkashambuliaji na mkabaji iko poa sana hii
    #meridianbettz

    Jibu

    Kama man city wakimpata watakuwa wameokota dodo

    Jibu

    Sane jeshi

    Jibu

    Bailey yuko vizuri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.