
City wamekuwa wakijaribu kumshawishi mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kuongeza mkataba wake ambao utaisha 2021.
Lakini Sane ambaye amekuwa akihusishwa na kutimkia Bayern Munich miezi 12 iliyopita, amezikataa ofa mbalimbali alizopewa na klabu hiyo.
“Anataka kujiunga na timu nyingine ,”alisema Guardiola “sijui kama ataondoka msimu huu au msimu ujao kipindi mkataba wake utakapo fikia tamati.”
Sane alijiunga na Manchester City akitokea Schalke 04 kwa ada ya yuro milioni 37 (£37m) mwaka 2016.
Hajacheza tangu alipoumia katika Kombe la Ngao ya jamii (Community Shield) mwezi Agosti walipokutana na Liverpool.
Guardiola ameongea na Sane ‘mara mbili au mara tatu” kuhusiana na dili mpya akaongeza kwa kusema “tunataka kumpa mkataba mwingine sababu tuna muhitaji”.
“Ana kiwango cha kipekee. Tuna taka wachezaji ambao wanacheza kwaajili ya timu ili kufikia malengo ya Klabu.
“Ni mtu poa sana na nina mpenda, sina kitu cha kumzuia sababu anahitaji changamoto nyingine na timu nyingine.


Ester jackson
Sane anakiwango cha kipekee ndio mana wanataka abaki ila kama hataki wamuache tu aende wakiendelea kumbembeleza wanampa kichwa
Neema
Watuache tuu. Akasakate kabumbuu anakotaka. Oki awe huru.
Salma
Jamani da!
Shafii
Sane itakua anampango wa kurudi kwao ujerumani maana wachezaji wengi wa ujerumani wanapendelea Sana kucheza nyumbani kwao
Furahav
Sane nenda mana maisha popote.
Gabriel
Pengo kubwa kwa man city
Omary lukumbi
Safi sana ilibid tuu atumie busara kama hyo alio tumia kumuacha aendee kuliko kukaa nae alafu hampi nafasi ya kucheza
David Pere
Good news kwa Bayern mucheni
Mwanaidi
Makala nzuri tunazipata hapa meridian
Aziza mushi
Duh man cty wanampoteza mtu makini Sana.
Rehema
Duu! Ishakuwa pengo kubwa
Mwanahamisi
Yaani pengo kubwa sana kwa man city
Magdalena
Ingawa wakuziba pengo lake kupatikana ni changamoto ila aende tu kambi popote
Genia Sikaluzwe
Hilo ni pengo kubwa Sana kwa man City
Johnmary joel
Bora tu aondoke Haina maana kukaa namtu ambaye akupi nafasi ya kucheza#meridianbett
Khadija
Sane nenda kwani maisha kokote#meridianbettz
Ernest
Benardo Silva amekuwa kama kiraka ndani ya Mancity lakini sasa ni wakati pia wa Mahrez kukaza ili kupata namba ya kudumu ndani ya City
warda
Leroy Anachezea maisha sana sijui utoto#Meridianbettz
Dorophina
Ameacha gepu kwenye kikosi
Caroline
Mwacheni aende akaangalie fursa pengine
Amani
wachezaji wengi wa ujerumani wanapendelea Sana kucheza nyumbani kwao# meridianbettz
Zeiyana
Me namshauri baki tu man city si vyema kuondoka sehemu huku bado mwenyeji wako hanakuitaji utaacha pengo kubwa kwenye clabu hiyo
edgar
Daaa mia pambana
Theckla
Kwa nn asibaki tu
Issa
Sane jembe
Hope mwaikuka
Sa itakuaje
Povel
City wanampotezah mtu makini sana
Hamidu
Sane bado mchezani mzuri sana. Bro nenda ukatafute changamoto nyingine nakukubali sana#meridianbettz
isha
Duuh jamni kwanini
Devotha
Anatakiwa akatafute changamoto nyingine mahali pengine
Theonestina
Itabidi watafute atakaeziba pengo lake
Frank Patrick
Sane fundi mwenye kasi na skills za kutosha wamuache akatafute changamoto nyngine
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa #meridianbettz
Sabrina
Maoni:Maisha popote wacha Sane akapambane kwengine
Tatu
Maisha popote nenda tu