Ebuana eeh kivumbi cha UCL wiki hii kitaendelea tena, ule usiku wa mabingwa mpira utatembea wakati huo huo Meridianbet wakiwa wamejipanga kwa Odds kubwa zaidi na machaguo zaidi 1000, mchanganuo wa mechi uko hivi..

Chelsea ataingia kwenye mchezo huu akiwa na rekodi nzuri za kumfunga AC Milan, lakini safari hii atakutana na Salzburg kwenye dimba la Red Bull Arena, kila timu inazihitaji alama tatu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya robo fainali. Ukiwa na meridianbet unaweza kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda.

Erling Halaand atakutana na waajiri wake wa zamani Dortmund, kwenye mchezo wa kutafuta mbambe wa kundi lao, Man City wamekuwa na kiwango bora msimu huu wakiongozwa na mshambuliaji wao Halaand ambaye mpaka sasa ndiye anaongoza kufunga mabao kwenye UCL. BVB amepewa odds ya 4.70 ila Meridianbet wanampa City nafasi kubwa ya kushinda. 

 

Kivumbi cha UCL Wiki Hii ni Moto Mkali

Wakati yote yakifanyika uwanjani, wewe kazi hakikisha unaimaliza mtandaoni, au kwa USSD *149*10# tandika jamvi lako ukiwa na mabingwa, kama ambavyo Mabingwa watetezi wa UCL watakapoingia mzigoni kuwakabiri  RB Leipzig wenyeji wa mchezo.  wakati huo huo PSG wakiwa Paris jiji la bata, watakamilisha bata lao pamoja na Maccabi Haifa, ni Messi, Neymar au Mbappe atang’ara kwenye mchezo huo?

Mechi zingine kali usiku wa Jumanne ya UCL ni Benfica dhidi ya Juventus yenye Pogba ndani yake, Dinamo Zagrev na AC Milan, huku mechi ya Sevilla na Copenhagen ikiwa na Odds kubwa haiajawahi kutokea. Tembelea Meridianbet nyumbani kwa mabingwa na ubashiri kibingwa.

Jumatano ya UCL kivumbi kitatimka wakati ambao Ajax wakikipa na Liverpool ya Klopp japo hawana msimu mzuri, lakini Klopp alisema nguvu kubwa ameiweka kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Liverpool kwa odds ya 1.81 huku Ajax akiwa na 3.82

Ile mechi ya kisasi itapigwa kwenye dimba la Camp Nou nchini Hispania, Wanakatalunya wanauchungu na kipigo cha mabao 2-0 huko kwenye dimba la Allianz Arena, mara nyingi wanapokutana miamba hawa Barca amekuwa akichuchumia kupata matokeo pia yeyote akiingia kwenye mfumo anaweza kujikuta akipokea mvua ya magoli. Meridianbet wana machaguo mengi sana kwenye mechi hii, bashiri sasa.

 

Kivumbi cha UCL Wiki Hii ni Moto Mkali

Tottenham wakiwa nyumbani watakipiga na Sporting CP, huku Atletico Madrid watatimua vumbi na Leverkusen, wakati Napoli atawakaribisha Rangers na Inter Milan atakipiga na Viktoria Plzen

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa