Donnarumma Ashawishika Kubaki Milan.

Gianluigi Donnarumma amehamasika kuendelea kusalia kunako klabu ya AC Milan na imeripotiwa ya kwamba  golikipa huyo ataongeza mkataba msimu unaofuata, hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu Stephano Piolo.

Donnarumma mwenye umri wa miaka 21, ameripotiwa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo inayo shiriki ligi ya Serie A, dili ya yake sasa inatarajiwa kuisha mwaka 2021.

Alipokuwa akingoea baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Parma siku ya Jumatano, Muitalia huyo Piolo alisema hayo na alikuwa ni mwenyefuraha katika uwanja wa San Siro.

“Hakuna mtu anaweza kuongelea mipango yao mbele, tunatakiwa tuendelee kuangalia kile kilichopo sasa,” Piolo alisema kwenye Sky Sport Italia.

“Namuona yupo sawa na anahamasikakuendelea kusalia klabuni hapa. Anaonesha kiwango kizuri .

“Nataka kufurahia maisha ya ufundishaji nikiwa na timu hii, ni furaha kufanya nao kazi.”

Donnarumma amecheza michezo 198 akiwa na timu ya wakubwa tangu ajiunge na Milan mwaka 2015-2016.

Mlinda mlango huyo amekuwa akihusishwa na kupenda kujiunga na vilabu vya Chelsea,Paris-Saint Germain na Tottenham hali ya kuwa hana uhakika na matarajio yake na Milan hapo baadaye.

 


 

Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

52 Komentara

    Pongezi kwa nyongeza mkataba

    Jibu

    Donnarumma ni golikipa anayejituma kocha wa Ac Milan wamefanya kitu poa kuendelea kumsajili club hapo

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana kwa kuongeza mkataba tena piga kazi broo

    Jibu

    Kama bado ana manufaa napo abaki tu na aongeze mkataba

    Jibu

    Umefanya jambo zur

    Jibu

    Anastahili kubakia hapo..pia pongezi kwake kwa kuongeza mkataba

    Jibu

    Abaki tuu milan#meridianbettz

    Jibu

    Donnaruma Millan panakufaa

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri kama ameona panamfaa

    Jibu

    Ni habari njema Kama ameamua kubaki

    Jibu

    Donnarumma ni halali yy kubaki milan kwan ndio kunamfaa akubali tu kuongeza mkataba

    Jibu

    Abaki tuu milan

    Jibu

    Abaki tuu milan

    Jibu

    Maamuzi yake mazuri

    Jibu

    Nimewayakubali maamuzi yake#meridianbett

    Jibu

    Ni habari nzuri kwakweli#meridianbet

    Jibu

    Deal zuri kwa Donnarumma

    Jibu

    Maamuzi mazuri kama panamfaa

    Jibu

    Kipa mzuri sana huyu

    Jibu

    Asante kwa update za michezo# meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwakuongeza mkataba

    Jibu

    Baki uendelee kupambana.

    Jibu

    Nimeipenda hii safii sana

    Jibu

    Ni habar njema sana 👍 kwa mlinda mlango huyo kuwa amefikia maamuzi ya kukubali kusaini mkataba mpya, baada ya kusitisha mpango wake wa kugoma kufanya hivyo.
    Mkataba mpya wa mlinda mlango huyo, utampa fursa ya kuendelea kubaki klabuni hapo hadi mwaka 2021, na pia unavunja tetesi za kutaka kuhamia kwenye klabu za Real Madrid na Manchester United, ambazo zilikua zinatajwa kumuwania katika kipindi hiki cha majira ya kiangazi.
    Mkataba wa sasa wa Donnarumma ulikuwa unafikia kikomo mwishoni mwa msimu huu

    Jibu

    Huyu jamaa umri mdogo lakini ana mafanikio makubwa

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi

    Jibu

    saf

    Jibu

    Ameonyesha kiwango kizur anastahili kubaki

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hongera Donnarumma kwa kuendelea kusalia AC milan

    Jibu

    Ni Jambo zur

    Jibu

    Ni goli kipa mzr aliegonga vichwa vya habar hv karibun

    Jibu

    Good

    Jibu

    Abaki tu Milan

    Jibu

    Habari njema aendelee kupambana

    Jibu

    Yupo sahihi abaki tyu

    Jibu

    Maamuzi sahihi

    Jibu

    Acheze kamari tu abakie aendelee kupata mafanikio au asipate mafanikio so uamuzi kwake

    Jibu

    kwa msimu huu inabidi abaki milani ilo aweze kutengeneza kiwango chake

    Jibu

    Chelsea inahitaji Golikipa wa kiwango cha juu kuchukua nafasi ya Kepa , huyu bado aendelee kubaki AC Milan ambao wameonyesha nia ya kuendelea kumuhitaji#meridianbettz

    Jibu

    ana manufaa napo ndio mana anataka kubaki

    Jibu

    Millani hawezi kumuuza kipa wao bado hana umuhimu sana kwao

    Jibu

    Maamuzi sahihi

    Jibu

    Maamuz sahihi km akion bado pansmfaaa

    Jibu

    Nadhani maamudhi aliyo amua kwake ndio sahihi.

    Jibu

    Sawa tu

    Jibu

    Kipa mzuri abaki milan panamfaa zaidi

    Jibu

    Abakii

    Jibu

    Yuko vzr sana abaki tu

    Jibu

    Huyu Gianluigi Donnarumma Namfananishaga na Messi sana

    Jibu

Acha ujumbe