Manchester United imeripotia kuwa wasikiliza ofa kwaajili ya Alexis Sanchez, Chris Smalling, Marcos Rojo, Phil Jones, Jesse Lingard na Diogo Dalot ili kutengeneza mkwanja kwaajili ya maingizo mapya majira ya kiangazi.

Makamu Mtendaji Mkuu Ed Woodward alitahadharisha mashabiki kuwa haitakuwa biashara kama awali kwenye soko la uhamisho kutokana na changamoto za kiuchumi kwasababu ya Corona lakini klabu inatarajia kuweka malengo kwaajili ya kuboresha kikosi.
Mshambuliaji Borussia Dortmund na England, Jadon Sancho amebaki kama chaguo la kwanza kwa Ole Gunnar Solskjaer, na Red Devils wanatarajia kuangalia namna ya kuboresha nafasi ya beki wa kati.

Wachezaji saba wa kikosi cha kwanza ameonyeshwa mlango wakutokea pale Theatre of Dreams tangu Solskjaer aichukua kutoka kwa Jose Mourinho Disemba 2018 na wote wanaweza kusepa katika wiki zijazo.
Ripoti zinasema, Sanchez, Smalling na Rojo – ambao wapo kwa mkopo Inter Milan, Roma na Estudiantes – wameonekana ni wachezaji ambao United haiwahitaji hivyo ni bora wauzwe. Ripoti pia imesema Jones, Lingard na Dalot wanaonekana kama wanambadala Solskjaer hivyo oia wanaweza kupigwa bei kupunguza idadi.


Warda
Wawatoe tu wanao tuwekea usiku#Meridianbettz
devotha
asante kwa taarifa #meridianbettz
Sadick
Kiwango anachoonyesha Sanchez ana nafasi kununuliwa na Inter. Timu zinajaribu kupunguza payroll #meridianbettz
Issa
Kwa mtu kama rojo na sanchez itakuwa imefanya ubaya kuwauza kwa sababu viwango vyao vipo juu kwa sasa
Hope mwaikuka
Duh! Balaa
Franky
Man u wez hao …
Theonestina
Duuuh wanaatar Sana.
Gabriel
Nice update 👍
Povel tz
Wawapgieh Bei hawana nafas Tena United pale
Janeflora malisa
Nice
Amiri Kayera
Vzur wafany usajir
Saupha mohamed
Wafanye usajili itakua vizuri
Shafii
Nadhani wanataka kujenga kikosi upya kwa ajiri ya msimu ujao kweli kutakua na ushindani mkubwa EPL
neema hassan
Duuh hatari
Frank Patrick
Hili zoezi naona Klopp litamfaa pia atuletee watu wengine wauzwe tu
Dorophina
Sanchez wamefanya makosa sana kumuuza dogo bado yupo vizuri sana kwenye gemu na anajituma
Evaluziga
Du nishida
Adelta
Asante kwa taarifa meridianbet
mwajumah
Wawatoe tu mm wala ata siwakubali#Meridianbettz
aisha
Wauzeni tuu muda wao umeisha
Tatu
Akiwatoa hao hakikisha amefanya usahili wa nguvu
Magdalena
Kama halitoathiri tiny wawatoe tu walete wapya
Khadija
Wauzen tuu muda wao umeisha#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Kama timu haitapata madhara itakuwa vizuri wakiwatoa
caroline
kweli hali ni ngumu.mpaka na man u wanapiga panga wachezaji
Angelina
Goodupdate#meridanbet
Ester jackson
Man u sasa imeamua kuwatoa wote ambao hawaleti mabadiliko safii sana man kwanini mtu unlipa pesa nyingi lakini hawaleti mafanikio bora waondoke
Mwanahamisi
Bora wafanye usajili
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana wapo wanao tuwekea usiku hapo man U
Johnmary joel
Hii ni balaa kwa wachezaji hao waliopigwa panga#meridianbett
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa
Agness
Duuu hatari
Ernest
Sio mbaya sababu wanataka kutengeneza kikosi cha ushindani zaidi
Samiah
Balaa hilo
Furahav
Wauzwe tu hawana huwezo wa kuichezea man u.
Njiku
Jambo zuri sana kwa uongozi wa man u chini ya kocha mchezaji wa zamani wa man u ole gunnar kwa kuwaeka sokoni baadhi ya wachezaji hao kwa ajili ya kubolesha kikosi kwa kununua wachezaji ambao wataleta chachu ya kuwania ubingwa wa EPL ata kupambana na changamoto ya UEFA balani ulaya good nimeipenda hii
lombo
mambo ni moto na meridianbet
Samira
Hili zoezi ni zuri sana walete watu watakaotufanya tuchukue kombe msimu ujao
sabrina
Duuh hatarii
Amiri Kayera
Saf awanafaida
Omary lukumbi
Duu hii hatar ila kwa dilot na rojo wange baki tuu
Janeflora malisa
🔥🔥🔥
Saupha mohamed
Duuu ataliii
Edgar
Man u wanaangaika kweli
Salma
Duh!
Theckla
Itakuwa Jambo jema wakisajili wachezaji wa kiwango cha juu kwani mara nyingi man u wamekuwa wakifungwa ovyiyo tu
David Pere
Kweli Olle ameamua kukisika kikosi chake upya ili naye awake kumbkumbu zake Kama babu
mwakalosi
marcos rojo injury zimemuharibia kiwango chake wasimsahau shaw hatuwez kuwa na mchezaji ambaye kila siku anaumia yeye tu hata kama hajaguswa bhn
felister
naona wanataka kusajili kikosi chengine
Rehema
Aisee hii ni hatari
Zeiyana
Hitakua vizuri kocha kama kocha kuhimarisha wigo wake
warda
Acha wafyekwe tu#Meridianbettz