Olivier Giroud amevuta hewa safi kwenye kikosi cha Chelsea na Tammy Abraham anatakiwa ajifunze kutoka kwa Mfaransa ambaye anaonekana kurejea kwenye kiwango chake, amesema Jimmy Floyd Hasselbaink.

Abraham alikuwa chaguo la kwanza kama mshambuliaji wa kati kwa Chelsea katika nusu ya kwanza ya msimu, lakini amepoteza nafasi yake kwa Giroud baada ya kurejea kutoka kwenye majeraha. Lakini umekuwa na msimu mzuri kwa Muingereza huyo, kwa mara ya kwanza anaingia Chelsea na kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Lampard na kufunga magoli 14 katika msimu huu.

Japo, Giroud anang’aa sasa, amefunga magoli matatu katika mechi nne zilizopita na Hasselbaink ana kitu cha ziada katika timu kuliko Abraham, pamoja na magoli.
‘Kitaalamu Giroud ni mzuri hasa kwa namna anavyotembea au kukimbia,’ alisema Hasselbaink. ‘Kama utatazama goli lake, yupo na mabeki lakini alifunga goli, anauwezo wa kuhisi wapi mpira utatua na hisia zake hazimdanganyi.



Frank Patrick
Ilikuwa ni nzuri kwa chelsea kumuongezea mkataba itawasaidia kina Abraham na werner kujifunza kitu kwa Giroud mwenye uzoefu na Epl
Dorophina
Giroud yupo poa sana wamefanya vizuri Chelsea kumuongezea mkataba ni mfano wa kuigwa sana kiwango chake kinazidi kuwa juu kila siku
Evaluziga
Anastaili kuongezewa muda kutokana na kujituma wake
mwajumah
Namkubali sana uyu jamaa#Meridianbettz
Adelta
Yuko vizuri sana huyu jamaa
Tatu
Anastahili sifa
Magdalena
Giround amekuwa na michango mkubwa Chelsea
aisha
Anatakiwa apate muda wa kutosha
Fatina mfingi
Anajitaid sana
caroline
mbona kamsifia sana .
Khadija
Anastahili apate muda wa kutosha#meridianbettz
Elika
Ni jambo jema kama watamuongezea mkataba
Genia Sikaluzwe
Jamaa yuko vizuri ni vema wakampa muda kidogo
Angelina
Yuko vizuri sana
Mwanahamisi
Yuko poa sana namkubali
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri sana uyo jamahaa
Franky
Good news
Johnmary joel
Nimchezaji mzuri sana#meridianbett
Fatuma kasomo
Jamaa yupo vizur
Ernest
Giroud anatumia ukongwe wake kwenye kufanya kazi lakini lazima tukubali kuwa anajua kufumania nyavu kwa syle ambayo watu wengi tumebaki midomo wazi, Kwasasa Chelsea wanaseza kumtumia kwenye mechi ili kuwapa matokeo
Samiah
Anastahili sifa
Gabriel
Giroud tokea aondoke arsenal kwenda Chelsea kapoteza maajabu sana na aliwika kipind cha harzad ila sasa tunamuona hana kitu kabisa na now ameshazeeka tena anacheza kimazoea tofaut na Abraham yuko vzur sana
Njiku
Olver yupo poa sana pia anauzoefu mkubwa sana kwenye ligi ya EPL licha ya hiyo pia anafanya vizuri kwenye eneo lake la ushambuliaji pia hivyo hivyo kwa abraham anafanya vizuri sana me naamini abraham atafanya vizuri sana kuliko oliver giroud
Furahav
Hongera Giroud.
Samira
Giroud ni mchezaji mzuri sana na anajituma mnoo awapo uwanjani
lombo
vzr
devotha
Giroud ni mchezaji mzuri sana
Povel tz
Habar njema
sabrina
Olivier Giroud yuko vizuri
Janeflora malisa
Nice
Amiri Kayera
Kwer kabx
Omary lukumbi
Oliver giroud mtu hatar sana kwa striker kwa kati akisimama
Saupha mohamed
Jamaa anajuaa
Edgar
Yp yupo vzr kabisa kuliko abraham
Salma
Kweli kabsaa
Theckla
Kihalisia jamaa yuko vizuri Sana ni vema Chelsea wakamuongezea mkataba
David Pere
So kweli huwezi kufananisha mzee na kijana hapo unatudanganyaa
mwakalosi
Abraham ni utopolo kabisa mvivu hajui kucheza na nafasi na pia ni mbinafsi
felister
Chelsea wamefanya vizuri kumuongezea mkataba giroud
Rehema
Anastahili sifa njema
Zeiyana
Abraham chaguo la kwanza kama mshambuliaji wakati wa Chelsea kumuongezea mkataba kwake hinaonesha jinsi gani bado hanaumuimu kwenye clabu hiyo
Sadick
Abraham bado kinda na Giroud ni mzoefu. Abraham anatakiwa kuendelea kujifunza kupata mafanikio yanayohitajika.Hasselbaink yupo sahihi#meridianbettz
Hope mwaikuka
Ni mtazamo wake
Shafii
Yuko sahihi giroud anamafanikio makubwa kwenye vilabu alivyopitia na hata kwenye mechi ya taifa kwaiyo anauzoefu mkubwa Sana.
Issa
Giroud anatisha sana
warda
Giroud yupo vibaya#Meridianbettz