Manchester United imeingia katika mbio pamoja na Manchester City kuwania saini ya nahodha wa klabu ya Real Sociedad, Mikel Oyarzabal.
Kocha mkuu wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ameripotiwa kutaka Usajili wa winga kufanyika Ndani ya kikosi chake baada ya kushuka kiwango kwa Muingereza, Jesse Lingard.
Winga huyo mwenye miaka 23 anakadiliwa kuwa na thamani ya £64m kulingana na kipengele cha mkataba wake unaomalizika 2024.

Lakini The Red Devils wanaamini watakamilisha usajili wake kwa dau linalokaribia £45m. Ikiwa watamkosa Jadon Sancho Oyarzabal ndio Plan B ya United.
Pep Guardiola amekuwa akimfuatilia kwa muda nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 tangu kuanza kusuasua kwa Mkataba wa Leroy Sane ambaye sasa kauzwa kwenda Bayern Munich kwa £55m.
Manchester City wanamuona Oyarzabal kama miongoni mwa Wachezaji wa kuja kujaza nafasi ya Mjerumani huyo.
Oyarzabal ni Miongoni mwa Wachezaji Saba tu Katika Ligi Kuu tano Barani Ulaya waliofunga magoli 10+ na kutoa Assist 10+ msimu huu – Oyarzabal ana magoli 10 na Assist 11 katika La liga.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Dorophina
Mikel yupo fiti akienda man city itakuwa poa sana
Franky
Haina aja ya kuangaika atulie na timu take tu
Lydia Emmanuel Magoti
Haina aja kuangaika atulie natimu take tuu
Johnmary joel
Siyoni sababu ya kuivuruga timu yeye amue ni wapi hanataka#meridianbett
Adelta
Haina haja ya kuivuruga atuliye tu
Fatuma kasomo
Atulie tu na tim yake
MnonganeJR
Njoo man utd jembe langu#meridianbettz
Agness
Awe mtulivu
Ernest
Wakati wa Mikel Oyarzabal. kulamba deal nono
Samiah
Awe nasubra
Gabriel
Habar njema
Njiku
Acha tuonee mikel atatua wap
Furahav
Man u haya kazi kwenu chukua kijana huyo.
lombo
duuh
devotha
habari njema
Povel tz
United watu wa Romance sana
sabrina
Man u kila mchezaji wanamuwania
Amiri Kayera
Tetes t izo
Omary lukumbi
Njoo United mzee
Janeflora malisa
Aje t
Saupha mohamed
Ujee man u
Edgar
Uyo wa man
Salma
Atulie aache kuangaika
Theckla
Itapendeza Kama atakwenda man u
Ester mmakasa
Asante kwa taarifa meridianbet.
David Pere
Wababe wakiyimia pesa hapo wataishinda sanaa Ila man u anauhakika sanaa maana wapo huru kuliko man City
mwakalosi
sio chaguo sahihi kwa United
felister
Mikel chaguo sahihi la man u
Rehema
Asante kwa habari mzuri
Zeiyana
Man wanajipanga kikamirifu ligi msimu wa pili
Shafii
Kama real sociadad bado wanahitaji huduma yake asibabaike na hizo deal maana asije akatimkia huko akajikuta atachezea bench tu.
Hope mwaikuka
Dah
Issa
Habari njema
Asia Abdy
Asante kwa makala meridiantz
Sadick
Mikel Oyarzabal ni moja ya winga hatari wa kihispaniola. Kwa kadiri tetesi za kuhitajika na timu kubwa gharama zake sikoni zinaongezeka#meridianbettz
Frank Patrick
Atawasaidia now wanaupepo tu mzuri wakimuongeza huyu wataongeza upana wa kikosi
warda
Huyu Hata Man U wasimchukue#Meridianbettz