manchester city - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Manchester City Wamebamizwa Tena

Daily News

Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu ya Manchester City na kocha Pep Guardiola kwani leo tena mbele ya klabu ya Liverpool wamekubali kichapo cha mabao mawili kwa bila katika …

Gundogan Arejea Manchester City

Daily News

Aliyekua kiungo wa klabu ya Barcelona Ilkay Gundogan amerejea klabu ya Manchester City baada ya kukaa nje ya klabu hiyo kwa muda wa mwaka mmoja pekee. Gundogan ambaye ameitumikia Manchester …

Manchester City Yakaaa Kileleni Epl

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kuifunga klabu ya Luton Town kwa jumla ya mabao matano kwa moja. Manchester …

Manchester City Yaipasua Palace

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao manne kwa mawili dhidi ya klabu ya …

Manchester City Yaona Mwezi

Daily News

Klabu ya Manchester City leo wameona mwezi baada ya kufanikiwa kupata ushindi dhidi ya klabu ya Luton Town katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Manchester City baada ya kutopata …

Manchester City na Chelsea Hali Tete

Daily News

Klabu ya Manchester City na Chelsea wako kwenye kipindi kigumu kwasasa baada ya klabu ya Everton kupokonywa alama 10 baada ya kuvunja sheiria za matumizi ya fedha. Everton wamepokwa alama …

Manchester City Yaua Doku Akitakata

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kupata alama tatu kwa kishindo baada ya kuibamiza Bournamouth mabao sita kwa moja, Huku winga Jeremy Doku akitakata. Manchester City wakiwa katika uwanja wao wa …

Manchester City Yaibuka Kidedea Derby Day

Daily News

Klabu ya Manchester City wamefanikiwa kuibuka kidedea katika mchezo derby kati yao na mahasimu zao klabu ya Manchester United ambapo wamefanikiwa kushinda mabao matatu kwa bila. Mchezo huo uliopigwa katika …

Manchester City Yatawala Tuzo za Fifa

Daily News

Klabu ya Manchester City imetawala tena kwenye orodha ya wachezaji wa kiume wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Fifa ambazo zinatarajiwa kutolewa hivi karibuni. Manchester City imefanikiwa kutoa …

Manchester City Walimtaka Balde

Daily News

Taarifa zinaeleza kua mabingwa wa soka kutoka nchini Uingereza klabu ya Manchester City walikua wanamtaka beki kinda wa kushoto wa klabu ya Barcelona Alejandro Balde. Manchester City walikua wanafuatilia kwa …

Manchester City na Nunes Kila Kitu Safi

Daily News

Klabu ya Manchester City imefanikiwa kumalizana  na klabu ya Wolverhampton kwajili ya kiungo wa klabu hiyo raia wa kimataifa wa Ureno Matheus Nunes. Manchester City ambao walikua wanamuwinda kiungo huyo …

1 2 3 4 142 143 144