Tottenham Kuwafata Newcastle United St James Park.

Tottenham ya Jose Mourinho inasafiri kuwafata Newcastle United huko St James Park. Spurs wanasuasua kwenye mechi zote za ugenini msimu huu na tunatarajia game ngumu wanapokutana na Newcastle United ya Steve Bruce.

Tottenham wanahitaji ushindi kuweka hai matumaini yao ya kufuzu Mashindano ya Ulaya kwa msimu ujao.

Timu ya Jose Mourinho iko alama mbili nyuma ya Sheffield United katika mbio za kupigania kufuzu Ligi ya Europa.

Meridianbetz wanakupa Odds nzuri sana za Ubashiri kwa mechi hii.

1. Baada ya kushinda game yao ya London derby kwa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal mwishoni mwa wiki iliyopita, Spurs wanapewa nafasi ya kushinda kwa odd ya (1.64) kutoka WinPrincess.

2. Kwa upande wa Newcastle wamepoteza tu dhidi ya Manchester City kwenye mechi zao tisa za mwisho wakiwa nyumbani, na wamepewa odd ya (5.15) kushinda.

X. Michezo mitano kati ya saba ya hivi karibuni kwenye uwanja wa Newcastle imemalizika kwa sare, na kuna odd ya (3.55) kwenye hii pia.


Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

  • Bonyeza HAPA Kujiunga.

48 Komentara

    Tottenham imekuwa ikishinda kwa taabu sana inapocheza ugenini. Ni mechi ngumu sana kipindi cha lala salama hiki#meridianbettz

    Jibu

    Totenham inabid wakaze maana newcastle wakiwa stjames park ni hatari inabid wajipange sana

    Jibu

    Tottenham inabidi wapambane ii washinde

    Jibu

    Ila Tottenham watapigwa tu#Meridianbettz

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Tottenham wako poa I hop wata Fanya vizur tu

    Jibu

    Mechi itakuwa Kali sana hii na wasipoangalia Hotspur wasipo jipanga wanaweza kupoteza nafasi ya kuendelea kufudhu maana Newcastle wako vizur sana na hakuna kiungo majerui yaaan kwa upande mwingine wako vzur

    Jibu

    Itakuwa bonge la mechi

    Jibu

    Spur Kama wanapgah mtu vile

    Jibu

    Good

    Jibu

    Mechi kalii

    Jibu

    Binge LA mechi

    Jibu

    Sio mechi ya kukosa hii.

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Newcastle wanacho chakujifunza msimu ujao waje kivingine wamekuwabsio washindani saana msimu huu

    Jibu

    Newcastle inabidi wajitahidi kushinda wapande daraja

    Jibu

    Mechi kali

    Jibu

    Sizani kama new castle watakubali kichapo wakiwa nyumbani

    Jibu

    Mechi kali#meridianbettz

    Jibu

    Tottenham wapo vizuri

    Jibu

    Tottenham itabidi ajitaidi ili ashinde

    Jibu

    Utakua mtanange wa maana

    Jibu

    Mech kali sana

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hapo inabidi totenhum ijitahidi tu maana ni mechi ngumu sana

    Jibu

    Mtanange ulikuwa watarii Sana huo

    Jibu

    Mechi tabambe

    Jibu

    Hizi mechi ni kali sana ila 90 zitaamua mshindi nani#meridianbett

    Jibu

    Vijana wa Mourinho wameamua kufanya kazi lakini muda mchache na mambo mengi kwao

    Jibu

    Tottenihm wajitahidi

    Jibu

    Wameamua kufanya kz ila muda mchache

    Jibu

    Mtanange wa maana

    Jibu

    Tottenham wanaonekana kama wamepoa sana msimu na hii sijui kwa nini kama wachezaji wazuri wanao sijajua kocha ndio anafanya timu kuwa kama imepoa hivi

    Jibu

    Team zote mbili sasa hvi haziko vizuri

    Jibu

    Mechi itakua kali sana

    Jibu

    Mechi kali sana hiyo

    Jibu

    Mechi nzur

    Jibu

    Mechi kalii

    Jibu

    Safi tu

    Jibu

    Mechi ngum Sana hii ila Nampa ushindi Tottenham

    Jibu

    Mechi ilikuwa nzuri sanaa na ya kivutia

    Jibu

    nilitegemea ushindani kutoka kwa Newcastle lakin wameniangusha sana

    Jibu

    gud

    Jibu

    ilikua bonge la mechi

    Jibu

    Mechi ya kibabe hatari

    Jibu

    Kwa maelezo Tottenham hawapo vibaya sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.