Young Africans (Yanga SC) imewataka mashabiki wake kusahau kipigo 4-1 dhidi ya watani wao Simba SC Jumapili.
Wekundu wa Msimbazi walikuwa bora kuliko wapinzani wao kwenye mpambanao wa nusu fainali ya Kome la FA kwa kuwamiminia mvua ya magoli kupitia Fraga, Clatous Chama, Luis Miquissone na Muzamiru Yassin yalitosha kuwafanya mashabiki wa Simba wafurahi pale Uwanja wa Taifa, na kuweka matumaini yao ya kutwaa mataji mawaili msimu huu hai.
Katika hatua nyingine kwa kipigo hicho walichokipata Yanga, kinamaanisha hawatashiriki Kombe la Shirikisho kwa msimu ujao.
Afisa habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amewaomba mashabiki wasahau kipigo hicho cha fedheha na kuishangilia timu katika kuhakikisha wanamaliza nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika mechi yao inayofuata dhidi ya Singida United Jumatano.
devotha
kusahau kipigo cha 4g kwa haraka sio rahisi hasa umefungwa na mtani wa jadi simba? bora ingekua timu ingine
Theonestina
Hawawezi kusahau hahaaaa
Zeiyana
Kwa wana yanga si jambo rahisi kusahau hili mapema.
Franky
Wekundu wa Msimbazi walikuwa bora kuliko wapinzani wao kwenye mpambanao wa nusu fainali so kipigo kilikua ni lazima pole yao sana jina wa yanga na mashabiki wao
felister
mwenyezi kaumba kitu kinachoitwa sahau kwanini tusisahau tunasahau vizuri ijapokua inatuuma#Zeiyana
Warda
Eti wasahau🤣🤣🤣🤣wasahau!!!ni ngumu sana hili wanalo hadi mwakani tar na mwezi kama huu#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Yataisha tu
Angelina
Asitusahaulishe
sabrina
Sio rahisi kusahau ila tunajitahid
Dorophina
Hayo mapito tu tutasahau
Ester jackson
Kwa wana yanga sio rahisi kusahau mnatakiwa mpange upya kikosi chenu upya kuanzia koli kipa,walinda mlango ,wakabaji mpaka washambuliaji na pia mnatakiwa mfunge mechi mfululizo ndio labda tunaweza kusahau
Elika
Dah poleni sana yanga najua bado wanamaumivu..huo ni wakati usiosahaulika
Genia Sikaluzwe
Mashabiki wa yanga tumesahau na piya tumekubali matokeo tunajipanga kwa musimu ujao
Magdalena
Kwa mashabiki wa yanga kusahau si rahisi sababu bado wakikutana na mashabiki wa Simba wanawakumbushia watumia muda mrefu Sana kusahau wajikaze tu ndo ushindani na utani wa jadi
isha
Kusahau ni ngumu sana maana walijua watashinda wao na mambo ya kawa kinyume na wao
Adelta
Poleni Sana yanga
Issa
Yanga inabid wasahau kipigo maana hao simba pia walishapigwa nao hivyo ni sehemu ya mchezo
Sadick
Kuna maisha hata baada ya kipigo#meridianbettz
Gabriel
Kwan tulicheza lini maana nimeshasahau ata lin tulicheza hii gemu hii n kukumbushiana tu
Hv a sad news 😥
Janeflora malisa
Kusahau itakuwa ngum
Povel tz
Yanga bado Sana
Amiri Kayera
Awawez kusahau iyo mpk wakutan ten
Saupha mohamed
Yanga badoo sanaa
Shafii
Ni jambo ambalo haliwezi kusaulika mapema kwenye vichwa vya mashabiki wa yanga.
neema hassan
Watasahau lkn itachukua muda mrefu
Frank Patrick
Bongo watu wanapenda mpira ila mpira haujiendeshi unaendeshwa ni kero
Evaluziga
Tushasahau kipigo Cha kawaidatu
mwajumah
Duuh polen sana yanga najua hamtaweza kusahau kipigo saiz#Meridianbettz
Tatu
Kusahau kipigo cha 4g ilo lisaulike Bali na kipigo pia mchezaji wao aliwatia aibu uwanjani
Khadija
duh!!mashabiki watasahau rakin watachukua muda sana#meridianbettz
caroline
hili nalo litapita maisha lazima yaendelee
Lydia Emmanuel Magoti
Watanzaje kusau gafra kile kipigo watakuwa wanakiwaza kila wakiamka hahaha
Johnmary joel
Jamani ni ngumu sana kusahau#meridianbett
Fatuma kasomo
Sio kwakipogo kilee watasahau ila itachukua muda
Ernest
4G sio ya mchezo mchezo
Samiah
Simba cyoya mchezo mchezo
Njiku
Kusahaulika hii inshu ngumu bora wangefungwa na timu nyingine sio watani wajadi maan kila siku wimbo midomoni kwa mashabiki wa simbaa
Furahav
Yanga watoto wadogo tu.
Samira
Unasahauje magoli manne kirahisi hivyo
Omary lukumbi
Kweli kabisa inabidi tusahau tuangalie linalo kuja mbele
Edgar
asiye kubali kushindwa si mshindani
Salma
Tunajitahdi kusahau
Theckla
Ni ngum Sana kusahu ila sio mwisho wa soka yanga itaendelea kuwepo
David Pere
Kusahau halihopota Ndio kitu Cha msingi sanaa waangalie msimu ujao watafanyaje
mwakalosi
unawezaje kusahau kidonda wakati kovu bado lipo
lombo
vzr
Rehema
Kwa magoal gan hadi tusisahau had hapa tulipo tumeshaau Ila imebaki history tuu😀😀😀