EPL: Dirisha la Usajili Kufunguliwa Rasmi

Imethibitishwa kuwa dirisha la usajili kwa Ligi Kuu ya Uingereza linafunguliwa rasmi July 27.

EPL wamethibitisha tarehe na taratibu  za usajili la msimu wa joto 2020 unaotarajiwa kufunguliwa hapo Julai 27.

Taratibu za kukamilisha mpango huu zinaendelea, huku taratibu zikiwa zinangojea kurasimishwa na Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Mpango huu unataja kuwa dirisha la usajili litachukua wiki 10 tangu kumalizika kwa EPL, ikiwa FIFA watapitisha.

Dirisha la Usajili Premier League

Kwa maana hii ratiba rasmi inatarajia kuanza tarehe 27 Julai na kumalizika Oktoba 5. Mapendekezo yanahusisha pia kutumia siku 11 tu kwa uhamisho wa ndani Uingereza.  Hii itawaruhusu klabu za EPL kufanya biashara na vilabu vya EFL kuanzia tarehe 5 Oktoba hadi tarehe 16 Oktoba 2020.

Umeripotiwa wasi wasi juu ya siku 11 za uhamisho wa ndani tu hazitoshi kwa vilabu vinavyoshiriki EPL, huenda wakahitaji mda zaidi. EPL wanasema tayari wameshafanya majadiliano na EFL wanaamini mda huo utatosha.

 


 

Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

 

55 Komentara

    Muda wakusajiri sasa ….nice news

    Jibu

    Taarifa njema kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Hiyo ni fursa sasa..habari njema sana hiyoo

    Jibu

    Habari njema kwa wachezaji waliokuwa manatarajia kijana timu

    Jibu

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    good newz; huu ndo wakati muafaka uliokua unasubiliwa na vilabu vingi vya uingereza

    Jibu

    Habari njema hizi kwa kila timu

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Kwa wale ambao timu zao zinamapungufu sasa huu ndo mda wa kuingia sokoni.

    Jibu

    Habari njema Sana hizi

    Jibu

    Heee Jamani mambo yaende vizur Corona asirudi#Meridianbettz

    Jibu

    Habar nzur kuisikia

    Jibu

    Habari njema kwetu

    Jibu

    Habari nzuri sana kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    Habari njema hii#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Dirisha ndio hilo ole mchukue sancho sio unaongea tu msimu ujao united iwe moto

    Jibu

    Kipindi cha kuona nani anakwenda wapi kwa bei gani#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Kipindi muhimu hiki kwa mabadiliko ya vilabu kuwapunguza wachezaji na kuongeza wapya

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ni wakati wa timu kuchukua watu wa kazi sasa na kuongeza nguvu kwenye vikosi vyao patachimbika EPL msimu ujao.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Maoni:Good news

    Jibu

    Pengine hiki kipindi cha usajili ndio kipindi nakipenda kwenye soka kuliko

    Jibu

    Huu ndio muda muafaka ulikuwa unasubiliwa na virabu vingi vya wingereza

    Jibu

    Hii habari nzuri kwa mashabiki wa mpira wa mpira na vilabu vyake

    Jibu

    wasajili wachezaji wenye viwango

    Jibu

    Habari nzuri Sasa mda wausajili ushawadia

    Jibu

    Habari njema .

    Jibu

    Anajua Chama langu man utd alitaniangusha#meridianbettz

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Hii imekaa pouwa sana kwa makocha kufanya mipango yao mapema kabla ya msimu kuanza

    Jibu

    Habari njema.

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    Asante kwa taarifa nzuri

    Jibu

    Abaki tu millan

    Jibu

    Safii sana hii ipo poa kazi kwa makocha kufanya usajili mapema kabla dirisha la usajili kufungwa

    Jibu

    Habar njema na wadau wa soka dunian

    Jibu

    Good information

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Imekaa vizuri Asante meridianbet

    Jibu

    Wafingue ili watu wafanye usajili kwa haraka sanaa maana muda no mdogo

    Jibu

    natarijia soko kuwa gumu sana huu msimu

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Safi sana meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.