Matondo Aomba Radhi Kisa Jezi ya Dortmund

Winga wa Wales, Rabbi Matondo ameomba msamaha baada ya kupigwa picha akiwa amevaa jezi ya wapinzani wa klabu.

Matondo, 19, mchezaji wa Schalke alifanya mazoezi na jezi ya Borussia Dortmund.

Matondo amesema alivaa jezi ya “rafiki wa karibu” Jadon Sancho katika gym binafsi.

“Nataka niombe msamaha kutoka ndani ya moyo kwa yoyote niliyemkwaza kutokana na matendo yangu,” aliandika Matondo kwenye mtandao wa kijamii.

Picha halisi ilifutwa, japo ilisambaa sana mitandaoni.

Matondo aliandika: “Kutokana na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii  nikiwa nimevaa jezi ya wapinzani wetu, Ninahuzunika na kuwahuzunisha wote wanaohusika na Schalke.

“Nataka kumaliza sintofahamu hii kwa kuomba msamaha yoyote kwenye klabu – lakini hasa mashabiki wetu. Kutokana na maumivu niliyowapatia na haikuwa dhamira yangu.”

Matondo, alijiunga na Schalke kutoka kwa Manchester City kwa mkataba wa miaka minne na nusu Januari 2019, alisema alifikiri ameva jezi ya Uingereza ya mchezaji Sancho kumbe alivaa ya Dortmund.

45 Komentara

    Matondo hana maba na Dortmund

    Jibu

    Aombae msamaha daima husamehewa.haina budi kusamehe ingawa katambua kosa lake

    Jibu

    Ni ukiukwaji wa masharti kuvaa Jessy ya timu pinzani lakini kama naomba msamaha n vyema akisamehewa kwa kutambua kosa lake

    Jibu

    Asamehewe kwasababu ameomba radhi kwa nia nzuri

    Jibu

    Asanten kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Kwann msimsameh wakat kaomba radhi

    Jibu

    Ni sawa km ameomba msamaa haina budi kumsamehe tu

    Jibu

    amekiri kosa lake hakuna budi kusamehewa.

    Jibu

    Sio jambo zuri kwakuwa ameomba msamaha hana budi kusamehewa

    Jibu

    duh kumbe hauruuhusiwi kuvaa jezi ya wapinzani…!

    Jibu

    Ni zuri kusamehewa sababu amejuwa kosalake na amekili

    Jibu

    Angekuwa wa Simba kafanya hivi tungemtimua kabisa vile hatupendagi ujinga#Meridianbettz

    Jibu

    Asamehewe tu

    Jibu

    Kakosea asamehewe

    Jibu

    Kashaomba msamaha wa dhati na kukili kosa lake wamsamehe tu

    Jibu

    Asemehewe ila kumbe ukivaa jezi tofauti na timu bayo unachezea ni kosa hata kama ulibadilisha wachezaji ni hatari sana

    Jibu

    Matondo dortmund panakutaka braza

    Jibu

    Hv nice update 👍

    Jibu

    Ameonyesha uungwana kuomba radhi na hivyo inavyotakiwa kuwa unapokuwa public figure#meridianbettz

    Jibu

    Ni vzr maan katumia heshima

    Jibu

    Matondo anaipenda Sana dortumond

    Jibu

    Asamehew tu

    Jibu

    Wamsamehee …at a nilikua sijui kama hawaluhisu kuvaa jez pinzani

    Jibu

    Sio jambo baya kupenda Uzi wa timu pinzani wamsamehe tu.

    Jibu

    Kwetu huku tunavaa vaa tu araf haiwi kitu

    Jibu

    Amejua kosa lake ndiomaana ameomba msamaha sisi mashabiki atuna budi kunsamehe kwani amejutia kosa lake

    Jibu

    muungwana akikosea anaomba msamaha ..hongera MAtondo

    Jibu

    Bora wamsamehe tuu

    Jibu

    Sio Jambo baya kupenda timu pinzani kuvaa jezi wamsamee tuu mkosea usamehewa

    Jibu

    Bora asamehewe tu kwa kuwa kaomba radhi.

    Jibu

    Hapa nadhani alitaka kuonyesha kama anamkubali sana Sancho

    Jibu

    Hii mbona fear kwa wachezaji sasa mbona wanachukuaga jezi uwanjani wanabadilishana mbona ipo poa hii dah me nikajua bongo tu kumbe mpka ulaya maana huku kwetu mchezaji wa yanga sidhana kama itamkuta kavaa jezi ya simbaa itakuwa baraa aisee

    Jibu

    Mbona jambo la kawaida tu hilo.

    Jibu

    Mtu anaeomba msamaha siku zote anastahili kusamehewa coz anakua ameelewa kwamba amekosea

    Jibu

    Kumbe ni makosa kwa wenzetu duu, uku mtu anajez za timu hata kumi na poa tyuu

    Jibu

    Kuvaa jez si dhambi bali inaleta taswira mpya kwa wadau wa soka

    Jibu

    Duh! Sheria kali

    Jibu

    Kwakuwa ameomba radhi ni vema wakamsamehe

    Jibu

    Kama ameona ukweli upo huko wamwache sense tu

    Jibu

    fans are always negative when it’s comes to their opponents

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Aisee wamsamehe tu

    Jibu

    Duuh

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.