Klopp - Arteta Ataleta changamoto Premier League.

Arsenal wanafurahisha kuwatizama na ni kama wamekuwa na changamoto mpya katika Premier League mara baada ya kuwa chini ya Mikel Arteta, hii ni kwa mujibu wa Meneja wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp.

Klopp ambaye ni bingwa mpya wa Premier League atasafiri mpaka dimba la Emirates siku ya Jumatano kuumana na Washika mitutu hao ambao mchezo uliyopita walipoteza dhidi ya Tottenham siku yaJumapili.

The Gunners wapo nafasi ya tisa kwenye msimamo wa ligi na watamaliza msimu nje ya nne bora kwa mara ya nne mfululizo.

Lakini Klopp amekwisha ona ishara nzuri kutoka kwa Arsenal tangu Arteta achukue nafasi ya Unai Emery mwezi Disemba na ameitabiria mazuri timu hiyo.

“Inaonekana kama Arsenal watarudi kwenye changamoto thabiti tena,” alisema Klopp.”Kwa bahati mbaya ndiyo wanaweza wakatusumbua.”

“Mikel ni sehemu ya kizazi kipya cha makocha wanao furahisha. Unafurahia kuwaangalia.

“Unaweza ukaona aina ya ufundishaji, amevutiwa na Guardiola. Mikel amekuwa na wazo kama hilo kipindi yeye ni mchezaji. Kikosi cha Arsenal ni kizuri.’

Klopp ameripoti ya kuwa hakuna majeruhi ambaye amepata afueni na kwenye timu yake inayo kwenda kukabiliana na Arsenal  kunauwezekano akakitumia kikosi kile kile kwenye mchezo dhidi ya Burnley  siku ya Jumamosi na matokeo yalikuwa sare.

James Milner anaonekana kama hatorudi mpaka mchezo na Chelsea siku ya Julai 22.

“Wakati viajana wanapo kuwa nyumbani wanafanya yale yenye umuhimu  tunatakiwa tumailize ligi hii yenye ratiba iliyo bana,’ Klopp alisema na michezo mitatu bado kucheza.

“Tulikuwa na kiwango kimoja safi kabisa kwenye mchezo dhidi ya Burnley. Nilifurahi ingawa hatukufunga magoli, tunatakiwa tuoneshe mtizamo mzuri na kiu kwa mara nyingine.”

 


Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

  Bonyeza HAPA Kujiunga.

47 Komentara

    MMmh

    Jibu

    Arteta. Inaonyesha kama mfumo wake

    Jibu

    Mfumo wa arteta kwa the gunmees unaonyesha kama haujaleta mafanikio kwa arsenal inabidi. Afanye usajili msimu ujao ili wakimbize top 4

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Asante kwakunijuza

    Jibu

    Taarifa njema.

    Jibu

    Axante kwa taarifa

    Jibu

    Kwer kabx

    Jibu

    Kwa arteta bado sana kusumbua ligi kuu epl

    Jibu

    Good news

    Jibu

    🤣🤣Clopp nae anajifanya mtabiri#Meridianbettz

    Jibu

    Maoni:Good news

    Jibu

    Arteta anabidi abadili mifumo yake

    Jibu

    Arteta inabidi kutafuta njia mbadala ili kujua anaisaidiaje timu yake ipande daraja

    Jibu

    Taarifa njema#meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Arteta natumai atasaidia timi ikawa Bora.

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kwa maoni yangu arsenal wanaweza kubahatisha kumfunga Liverpool kama watakuwa makini na kasi wanayoitumia zidi ya mashambulizi kwenye eneo lao lakini wasipo fanya hivyo watafugwa tu .

    Jibu

    habari nzuri

    Jibu

    Asanteh kwa ujumbe!

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Klopp hana jivuna sana lakini hasijisahau sana kwani mpira matokeo dk 90 tu

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Klopp yuko vizuri sana

    Jibu

    Arteta anakazi ya ziada

    Jibu

    Arteta anajua anchokifanya Ndio maana kloop anasema ayaleta changamoto

    Jibu

    Kweli kabisah klopp hajaongopa

    Jibu

    Asante kwa taaarifa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Liverpool na Arsenal tangu mwaka 2010 wamekutana mara 13, Arsenal wameshinda mara nyingi zaidi mara 4 wakati Liverpool wameshinda mara 3 na kutoka suluhu mara 6.
    Jumla ya magoli 45 yamefungwa katika michezo hiyo na vipigo vikubwa ni 08 Feb 2014 Liverpool 5 Arsenal 1 katika dimba la Anfield.
    04 Apr 2015 Arsenal 4 Liverpool 1katika dimba la Emirates.
    Zifuatazo ni rekodi za Liverpool na Arsenal katika ligi kuu tangu 2010
    15 Aug 2010 Liverpool v Arsenal 1-1 2010/2011
    17 Apr 2011 Arsenal v Liverpool 1-1
    20 Aug 2011 Arsenal v Liverpool 0-2 2011/2012
    03 Mar 2012 Liverpool v Arsenal 1-2
    02 Sep 2012 Liverpool v Arsenal 0-2 2012/2013
    30 Jan 2013 Arsenal v Liverpool 2-2
    02 Nov 2013 Arsenal v Liverpool 2-0 2013/2014
    08 Feb 2014 Liverpool v Arsenal 5-1
    21 Dec 2014 Liverpool v Arsenal 2-2 2014/2015
    04 Apr 2015 Arsenal v Liverpool 4-1
    24 Aug 2015 Arsenal v Liverpool 0-0 2015/2016
    13 Jan 2016 Liverpool v Arsenal 3-3
    Mpaka nilipoishia hapa tunapata picha kuwa hawa vijogoo wajipange

    Jibu

    Klopp kaongea kiungwana. Ili kuona Arteta ana mipango mikubwa kwa Arsenal ni kuona atakavyofanya usajiri wake msimu#meridianbettz

    Jibu

    Arteta inabidi akaze iligurudumu la Arsenal lisonge

    Jibu

    Asante kwa kutujuza

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Hii mechi ya Leo si mchezo

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Maoni: asante kwa taarifa

    Jibu

    Wanaonyesha nidhamu kubwa sana kwenye kushambulia na kukaba pia naamini wataleta changamoto sana next season

    Jibu

    Klopp anampenda Arteta

    Jibu

    Arteta ajipange kisawa sawa azidi kusonga mbele

    Jibu

    Natamani kuiona safari ndefu Mikel Arteta katika ukocha

    Jibu

    Ahsanteni #meridianbet kwa habari nzuri

    Jibu

    Klopp anamkejeri tu arteta arsenal na ushindani wapi na wapi

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe