Liverpool Wataja Ofa yao kwa Alcantara

Kiungo wa Kimataifa wa Uhispania, Thiago Alcantara yupo mbioni kujiunga na mabingwa wa Premier League, Liverpool baada ya kocha mkuu wa klabu hiyo, Jurgen Klopp kusisitiza kusajiliwa kwa mchezaji huyo kutoka Bayern Munich, kwa mujibu wa ripoti ya Bild.

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anataka kumsajili mchezaji huyo ambaye kafanikiwa kushinda taji la Bundesliga na Kombe la Ujerumani msimu ulioisha hivi karibuni, lakini vilabu bado havijakubaliana ada ya uhamisho.

Liverpool Wataja Ofa yao kwa Alcantara

Kulingana na Bild, Liverpool hawako tayari kulipa euro zaidi ya milioni 25, wakati Bayern wanataka euro milioni 40 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29.

Alcantara alijiunga na Bayern mnamo 2013, wakati kocha mkuu alikuwa Pep Guardiola ambaye naye alimtaka kwa nguvu zote.

Liverpool Wataja Ofa yao kwa Alcantara

Alishinda Ligi ya Mabingwa chini ya Guardiola mnamo 2010/11 wakiwa Barcelona na tangu ajiunge na Bayern, Alcantara ameshinda taji la Bundesliga katika kila msimu yote saba na aliinua Kombe la Ujerumani mara nne. Amecheza mechi 231 kwa Bayern, akifunga mabao 31 na Assists 37

51 Komentara

    Ni kiungo mzuri

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Wafanye mchakato watoe hilo dau ili wamchukue huyo kiungo

    Jibu

    Ni vita kati ya Liverpool na Man City kugombea saini ya Alcantara#meridianbettz

    Jibu

    Bonge la mchezaji ambaye klopp akifanikiwa kumpata ataleta mchango mkubwa liver

    Jibu

    Ni kiungo mahili sana

    Jibu

    Kiungo mahiri sana#meridianbettz

    Jibu

    Ni bora haende Liverpool poli ndio clabu kubwa hitakayo mfanya han,gae tena so tulikua tushaanza kumsahau..!

    Jibu

    Ni kiungo mzuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    Ni maauzi yake aende tu anapoona panamaslahi kwake

    Jibu

    Alcantara karibu liverpool….

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni kiungo mzuri sana

    Jibu

    mwenye kisu kikali ndo mla nyama apo

    Jibu

    Mwenye mkwanja mrefu ataondoka na saini

    Jibu

    Alcantara ni mchezaji anaefanya vizuri sana kwenye klabu ya Bayern munich

    Jibu

    Mbona Kuna mgongano nani atakaye msajili kati ya Liverpool au man city

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Wa mwokote tu

    Jibu

    Alcantara nimchezaji mzuri Sana namwenye uwerewa anajituma anajuann anakifanya jembe huyo

    Jibu

    Ni kiungo mzuri

    Jibu

    Alcantara hafai kloop amchukue tu atafit pale anfield

    Jibu

    Nikiungo mahiri

    Jibu

    Thiago Alcantara ni fundi ambaye bado soka linamdai kutokana na kiwango chake na mambo ambayo amekwisha fanya adi sasahivi.

    Jibu

    Itakuwa vizuri km akienda liver.

    Jibu

    Liverpool inamchukua uy

    Jibu

    Axante kwa taarifa

    Jibu

    Kiungo makinii huyo

    Jibu

    Ni kiungo nzuri

    Jibu

    Wamchukue to anafaa kabisa

    Jibu

    liverpool kwa kupenda vitu vizuri!

    Jibu

    AlCantara kiungo mahiri Sana Liverpool wakifanya kweli hawatajutia kupata kandarasi yake.

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Yuko vizuri tu wamchukue

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kiungo mzuri

    Jibu

    Kama ataenda liver safi sana

    Jibu

    Hakika Kama Liverpool wakifanikiwa kumchukua watakuwa wamepata kiungo mzuri sana

    Jibu

    Ni kiungo mahiri.

    Jibu

    Ni kiungo mzuri Sana

    Jibu

    Mpaka ikubaliwe Sasa isipokubaliwa hawatampata

    Jibu

    huyu fundi akitua anfield aisee epl Liverpool atasumbua aisee

    Jibu

    Maoni:ni kiungo bora

    Jibu

    Akisajiliwa atakuwa amepata sehemu salama na nzuri zaidi katika soka

    Jibu

    Pamoja na ubigwa lakini bado wanasajili tu !!!!#Meridianbettz

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Liverpool wafanye kweli hapo wampate huyo mchezaji

    Jibu

    Nikiungo na piya fundii wa mpira

    Jibu

    Kiungo mzur Sana

    Jibu

    Kulingana na Bild, Liverpool hawako tayari kulipa euro zaidi ya milioni 25, wakati Bayern wanataka euro milioni 40 kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.