Muda mwingine nakaa chini nawaza, Hivi ni kweli Simba ina fundi huyu anayepigania namba pale Zambia ‘chipolopolo’ mbele ya Kelvin Kampamba, Augustine Mulenga, Donashano Malama, Nathan Sinkala na Enock Mwepu wa Red bull Salzburg? Hivi ni kweli Chama yupo katika ardhi yetu?

Nakumbuka yule mzee pale taifa siku ile aliniambia “Nakuambia Mungu wa Chama anatupenda sana kuliko anavompenda Chama. Kukubali Chama azaliwe huku kwetu na kukubali Chama acheze huku kwetu, hamna sababu nyingine zaidi ya kutupenda sisi kuliko yeye. Huyu alistahili kuzaliwa.”

Nakumbuka kabla yule mzee hajamalizia ndipo lile bao la maajabu lilikuja. Simba 3-1 Nkana. Mpira ulisukumiwa kambani na kisigino kilichositiriwa na ‘Predator Mutator’ kutoka Adidas. Ni mara chache sana kupata ‘shots’ kama zile. Muulize hata ‘Hans Cana’ na video zake atakusimulia. Ni mare chache sana. Ndiyo maana nahitaji passport ya Chama ili nihakiki uraia wake.


Zeiyana
Chama hana uwezo mkubwa sana
Ester jackson
Kwa watanzania mtu akionyesha mazuri wanamwaga sifa zote ila akitetereka tu anakaa benchi mpaka anafanana nako haha ha haa
Khadija
Chama moja tuu simba ndio baba lao hakuna mpinzani#meridianbettz
Angelina
Chama ni mchezaji bora wakati wote simba ijivunie kuwa nae
mwajumah
Chama ni mchezaji mzuri sana na anauwezo mzuri tu#Meridianbettz
Caroline
ha ha ha aya bhana naona mnampa promo
Mariam mtandama
Duuuh
Sadick
Amekuwa na mchango muhimu ktk timu wakati unapohitajika sana#meridianbettz
aisha
Chama ni mchezaji pekee amabaye anafanya vitu vinavyokubalika kwa mashabiki na nilazima tumsapoti yuko vizuri
felister
shukrani kwa mwandelezo
Dorophina
Chama yupo vizuri makala imetulia htr
Latifa juma mohamed
Shukrani kwa mwendelezo kiukwel chama yupo vizuri .
Lydia Emmanuel Magoti
Kabisa yani chama atabaki kuwa chama akuna Kama wewe kiungo anaejielewa anajituma akiwa kwenye sekta take yampila anaju bana wacheni ubinafsi
Rehema
Duuh!
Fatina mfingi
Chama namkubali sana
Issa
Mwamba wa lusaka afai sana pale msimbazi
Ernest
Chama sio mtu wa mchezo mchezo, Acha tuu wamsifie ila jamaa anajuwa adi anakeraaaa
Samiah
Chama hana uwezo
Furahav
Yuko vizuri.
Amiri Kayera
Chama anaujua san
Hope mwaikuka
Chama ni mtu hatari kwakwel
Neema juma
Lazima tumpongeze bhana
lombo
yuko vzur
Tatu
Namkubali sana chama
Shafii
Habari njema kwa wanasimba.
Povel tz
Chama mwamba
devotha
Chama ni mchezaji mzuri sana mwenye uwezo wa kipekee
sabrina
Chama mchezaji mwenyekipaji chake
Fatuma kasomo
Yupo vizuri chama
Saupha mohamed
Chama anajuaa
Salma
Yuko vizuri
Tahiya
Huyo ndio mwamba wa lusaka anajua nini mashabiki na timu yake wanachotak
Theckla
Chama ni mchezaji mzuri Sana ila inabidi ajitume Sana kwani mpira unakuwa na maajaubu mengi ni dhahiri kuwa anaweza akawa na msimu mzuri kwa kipindi hiki alafu kipindi kijacho akawa ohivyio kabisa
farida ahmadi
Jembe huyoo chama
David Pere
Huyu jamaa kwa uwezo wake hapa tz anacheza kwa bahati mbaya tu Ila kiwango chake ni Cha kucheza ulaya kabisa
mwakalosi
je wewe umeona kama mimi Hahahaha
Tatu
Chama yupo vizuri
tumaini
Maoni:chama ni fundi wanamuita mwamba wa lusaka
Magdalena
Chama kama chama Hana mpinzani katika kuusakata mpira
Mwanahamisi
Chama ana uwezo mkubwa sana
warda
Huyu Chama huyu acheni tu#Meridianbettz
Gabriel
Hapa tunazungumzia bahati
Theonestina
Chama jeshii