Shaw Kuukosa Mchezo wa Nusu Fainali Dhidi ya Chelsea.

Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw ataukosa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup utakao ikutanisha timu ya Manchester United dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili katika dimba la Wembley.

Mlinzi huyo alipata majeraha ya kifundo cha mguu kwenye mchezo dhidi ya Southampton  ambao United walilazimishwa sare ya 2-2 katika dimba lao la Old Trafford na kutocheza mchezo uliofuata dhidi ya Crystal Palace na kuibuka na ushindi wa 2-0 siku ya Alhamisi.

Mkurugenzi wa Man United Ole Gunnar Solskjaer hamtarajii Luke Shaw kuukabili upande wa Frank Lampard, lakini kuna habari njema kwa Brandon Williams ambaye alikuwa na majeraha ya kichwa aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Saints pia aliukosa mchezo katika dimba la Selhurst Park kufuatia kusumbuliwa na maumivu katika jicho lake la kushoto.

“Luke atakuwa nje,” Solskjaer aliongea hivyo siku ya Jumamosi. “Bado sijaona kupata nafuu.
“Brandon analeta matumaini ya kucheza, atakupo mazoezini leo na jicho lake tutaona kama ataweza kuuona mpira pindi atakapo kuwa uwanjani, atakuwa sawa.”

Timothy Fosu – Mensah alianzia upande wa kushoto katika safu ya ulinzi dhidi ya Palace mchezo wake wa kwanza tangu mwaka 2017 mwezi mei.

 


 

 

Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

49 Komentara

    Pole yake luke shaw kwa kupata majeraha utakuwa sawa tu

    Jibu

    Ni bonge la pengo katika kuelekea mchezo muhimu Kama huu wa nusu fainali zidi ya Chelsea.

    Jibu

    pole shaw

    Jibu

    Pole sana luke shaw#Meridianbettz

    Jibu

    Pole sana shaw#meridianbettz

    Jibu

    Luke show amekuwa na gundu na majeruhi#meridianbettz

    Jibu

    Inabidi yuombee alone haraka sanaa

    Jibu

    Pole sana shaw

    Jibu

    Pole shaw

    Jibu

    Pigo kwa united pia kwa mechi muhimu kama hiyo

    Jibu

    Habari mbaya hizi

    Jibu

    Daa tuna wakat mgumu Sana Man U inaitajika tujipange kisawasawa iliimechi tuikabili kwasababu kunapengo kubwa Sana hapo mtu kashakuwa majeruhi inabidi tupambane Sana Man U

    Jibu

    pole sana

    Jibu

    Ni habar ya kusikitisha sana kwa club ya Manchester United kumkosa beki wa kushoto wa Manchester United, Luke Shaw anatarajiwa kukosa mechi zote zilizosalia msimu huu kutokana na kupata majeruhi ya mguu. Shaw mwenye umri wa miaka 21, anatarajia kuonwa na wataalamu ili kujua ukubwa wa tatizo lake baada ya Jumatatu kubainika kuwa alipata matatizo kwenye ngano ya goti lake. Beki huyo wa kimataifa wa Uingereza alitolewa uwanjani baada ya kupita dakika tisa katika mchezo wa Jumapili iliyopita uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Swansea City huko Old Trafford. Mapema jana, akizungumza na wanahabari meneja wa United Jose Mourinho alithibitisha kuwa Shaw hatacheza tena msimu huu

    Jibu

    Man chester wana wachezaji wazuri tu wenye uwezo wao sijui kama kocha hata humuzia kichwa kwa mchezaji mmoja tu

    Jibu

    Pole sana kwake

    Jibu

    Tupo pamoja luck Shaw….vijana wetu watafanyaka kazi ..najua tunakukosa mchezaji muhimu #meridianbetz

    Jibu

    Luke Shaw mkongwe nina imani atakua vizuri kuja kumalizia mechi mbili za mwisho za ligi kuu kwani ni beki ambaye kwa sasa anahitajika sana Manchester united ingawa umri wake umeshamtupa mkono hivyo basi Manchester wanahitaji kusajili beki mwingine wa kushoto mwenye uwezo kama Luke

    Jibu

    Pole Sana’a Luke shaw

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole sana kwa Shaw

    Jibu

    Pole sana shaw

    Jibu

    Ni pigo sana ila kwa kinda williams ata replace hyo nafasi

    Jibu

    Majerah yanamuandama san

    Jibu

    Bado naona Man U wakiwa na kikosi kipana na kupata wa kucover nafasi yake japokuwa Shaw ni mzoefu na mechi kama hizi

    Jibu

    Luke Shaw amekuwa co mchezaj mwenye mwendelezo mzur wa kiwango chake kila msimu ni mchezaj wa kupata majerah kila msimu hawez malizah bila kutumiah ni habar mbaya sana kwa mashabik wa United

    Jibu

    Duh ni habari mbaya kwa Timu mchezaji wao kuandamwa na majerahaa

    Jibu

    hii habari mbaya pole sana Luke

    Jibu

    bad news

    Jibu

    Nihabari zakuckitisha

    Jibu

    Pole Sana shaw itakuwa pengo kubwa Sana kwa man u

    Jibu

    Aiko pouw kwa upande wake

    Jibu

    Pole sn

    Jibu

    Habari mbaya kwa mashabiki wa man u kutokuwepo Shaw beki mahir upand wa kushoto get well soon.

    Jibu

    Pigo kwa man u

    Jibu

    Game ya Chelsea na Manchester united imekuwa na mshike mshike wa majeruhi sana tusubiri atakuwa nani bigwa leo

    Jibu

    Pole kijana man wamebaki na pengo

    Jibu

    Bado sijaona kupata nafuu.
    Brandon analeta matumaini ya kucheza, atakupo mazoezini leo na jicho lake tutaona kama ataweza kuuona mpira pindi atakapo kuwa uwanjani, atakuwa sawa.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Mungu amjalie wepesi aweze kurejea maana ni beki anaefanya vizur

    Jibu

    Pole yake alipania mechi sanaa

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole yakee shaw

    Jibu

    Pole sana shaw

    Jibu

    Pengo kubwa kwa man u

    Jibu

    Ndo Mana Man U Tulifugwa#Meridianbettz

    Jibu

    Pole bhana

    Jibu

    huyu shaw anatugharimu sana na kuumia kwake hovyo hovyo tu

    Jibu

Acha ujumbe