Tanzania Kuna Chama Mmoja tu! (PART ONE)

Nimerudia tena kuisikiliza ‘Mungu yuko wapi’ ya Nay Wa Mitego kwa mara ya pili. Si kwasababu sijamuelewa, wala si kwasababu ninataka kuungana nae, pia si kwasababu ninataka kumkosoa kwa kuwa kila mtu ana haki ya kuamini apendavyo yeye.

Ila ni kwasababu ninataka kujihakikishia kama kweli hajamtaja Clatous Chota Chama kwenye verse yoyote hapo ndani. Mungu wa Chama yupo wapi hadi akakubali acheze mbali na dunia namna hii? Ila najipa jibu kuwa itakuwa anatupenda sana, anapenda tupate burudani ndio maana amemruhusu aje acheze huku kwetu.

Safari yake ilianza kutambulika pale Zesco, kwa miguu yake miwili akaifikisha nusu fainali ya Club bingwa Afrika. Waarabu fulani kutoka Al Ittihad wakaona hastaili kuishi chini ya jangwa la sahara, wakamvuta Kaskazini mwa Afrika. Akapishane na akina Saleh Gomaa, Akram Tawfik na Amri Barakat wa Al Ahyl pale Borg El Arab.

Sitaki kujua sababu gani ilimrudisha nyumbani kwao Zambia, labda alipenda tu kurudi kuwapa burudani watu nyumbani pale Lusaka Dynamos. Huwezi kujua. Ila ninataka tu kumjua aliyemleta huku kwetu Tanzania. Bahati iliyoje kuiona miguu ya Chama ikikanyaga mpira katika ardhi yako!


Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

52 Komentara

    Chama na mchango muhimu pale unapohitajika sana. Scout ya Simba inasitahili heko kwa hili#meridianbettz

    Jibu

    Namuelewa sana chama..yuko vizur

    Jibu

    Chama anamchango mkubwa Sana pale anapo itajika kiungo mahili Sana Kama chama anafanya alicho tumwa mwamba uyo kaja kupiga kazi msimbazi uyo anakubalika kila sekta mpambanaji huyo

    Jibu

    Chama ana mchango mkubwa simba

    Jibu

    Chama mpira anauelewa sana

    Jibu

    Chama kwa alipifikia ni pazuri

    Jibu

    So kweli vyama vipo vingi Sana wasitudanganye

    Jibu

    Makala imekaa poa sana#meridianbettz

    Jibu

    Chama Yuko vizur Sana

    Jibu

    chama ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Chama yuko vizuri sana

    Jibu

    Chama yuko vizuri Sana na anamchango mkubwa Sana kwenye club ya simba.

    Jibu

    Mimi ata sijaelewa chama ni jina la mtu au…?

    Jibu

    Chama yuko vizuri sana.

    Jibu

    Chama anakipaji kizuri tu simba wametokea kumuamini sana

    Jibu

    Chama ni mchezaji mzuri mno

    Jibu

    Chama yuko pow sana

    Jibu

    Anajitahid

    Jibu

    Chama yuko poa

    Jibu

    Fundi wa mpira triple c mwamba wa Lusaka ,Chama anajua mpaka anakela

    Jibu

    Chama yupo vizuri sana ni bora angebaki tu uko uko uku Tanzania hakuna mpira

    Jibu

    Chama yupo vizurii sanaa

    Jibu

    Chama bonge la mchezaji ambae nadhani kwa sasa vilabu vya nje vishaanza kummezea mate na ataendelea kuwapiga utopolo kila mechi atakayocheza,namtakia mafanukio mema

    Jibu

    Chama ni nomaa sana

    Jibu

    Ni kweli kabisa yupo mmoja na hakuna atakaeweza kucheza kiwango chake

    Jibu

    Fundi wa mpila

    Jibu

    Kwasasa upande wa Bongo ukiwaongelea mafundi na viungo hatari huwezi kuacha kutaja jina la Chama, Amekuwa kwenye kiwango kizuri na msaada mkubwa kwa timu yake Simba adi kuweza kuwapatia taji msimu huu.

    Jibu

    Chama mwamba wa Lusaka noma sana

    Jibu

    Ukisema Chama yupo mmoja tu ni sawa kwasababu ni jina la mchezaji lakini ukisemea vyama viko vingi sana ,Naomba tulielewe ilo

    Jibu

    Chama mtu m’baya

    Jibu

    duuh hatar

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Yupo vizuri kijana

    Jibu

    Namkubali sn

    Jibu

    Namkubali Sana chama yupo vizuri

    Jibu

    Chama ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Chama anajua mpira bonge la kiungo na mchezaji nzuri wa simba

    Jibu

    Huo ni mtazamo wako

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    Chama jembe

    Jibu

    Chama yupo vizur sana

    Jibu

    Chama anafanya vizuri sana

    Jibu

    Muongo uyoo

    Jibu

    Anajitahidii kwa kweli

    Jibu

    Yuko gud

    Jibu

    Chama anajua majukum yake awapo uwanjani

    Jibu

    Ila Huyu Chama Ni Noma #Meridianbettz

    Jibu

    Chama jeshiii

    Jibu

    mwamba wa lusaka siku akiwa kwenye ubora wake ni mtu hatari sana huyu mwamba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.