Salamu za PSG kwa Atalanta Kuelekea UEFA.

Baada ya soka kusimamishwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya miezi 4 kutokana na janga la Corona, hatimaye mabingwa wa Ligue1 PSG wamerejea tena dimbani kujiandaa na mchezo wa Robo fainali Ligi ya Mabingwa dhidi ya Atalanta.

Timu ya Thomas Tuchel imecheza katika dimba lake la Parc des Princes, mbele ya mashabiki wake (japo idadi ndogo tu imeruhusiwa).

PSG ikiongozwa na mastaa wake kama Neymar, Icardi na Mbappe ambao wote wameweka kambani, wameipiga wiki (7-0) timu ya Ubelgiji ya

Kocha wa huyo wa PSG Thomas Tuchel anadhamira ya kuendelea kuwaweka sawa vijana wake kuelekea mashindano ya Ulaya UEFA mwezi ujao na wachezaji hao wameonekana kuwa sawa kwelikweli baada ya kuwadondoshea kipigo kizito timu ya Waasland Beveren 7-0

Beki Aleksandar Vukotic alijifunga dakika ya 21 ya mchezo baada ya kujaribu kuokoa mchomo mkali wa Kylian Mbappe

Psg waliweka chuma cha pili kwa mkwaju wa penati dakika saba baadaye wakati Neymar alipojaribu kutafuta goli.

Baada ya kipindi cha pili wenyeji wa uwanja walipata penati nyingine, wakati wageni walipokuwa pungufu na kuruhusu Neymar kutupia kambani kwa mara nyingine.

Walakini, mara hii Neymar hakuleta ubinafsi na kumuachia Icardi na kutupia wavuni, Bao la nne liliwekwa kimiani na bingwa wa kombe la Dunia Mfaransa Kylian Mbappe

Ni kama walivyofanya kwa Le Harve, PSG walicheza mechi ya kirafiki huku kukiwa na mashabiki kadhaa katika dimba la Parc des Princes huku kamera zikionesha kukosekana kwa kuchukua tahadhari za kujikinga na maambukizi ya Corona kwa nashabiki kukaribiana.

 


 

Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

51 Komentara

    Aisee hii makala imetulia sana

    Jibu

    Pamoja na ushindi huo PSG ijiandae kukabiliana na Atalanta iliiyoonyesha uwezo mkubwa wa kucheza soka la kushambulia kiasi cha kuwa timu iliyofunga magoli mengi msimu huu Serie A#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema sana hiii

    Jibu

    Atalanta siyo timu rahisi PSG wanatakiwa kujipanga zaidi

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema Sana hizi

    Jibu

    Psg wana wachezaji wenye vipaji vingi sana,ila huwa hawa fiki kokote.

    Jibu

    Maoni: nawakubal sana PSG wako vizur

    Jibu

    Atalanta wapo vizuri sanaa PSG watapigwa tu wasijiamini sanaa

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Safii Sana PSG mnastairi pongezi mpo kwenye levo nzuri kwaio inabidi mjipange kisawa sawa

    Jibu

    big up PSG keep it iup

    Jibu

    Ahsant #meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Psg nawakubali sana wako vizuri

    Jibu

    Nawakubali sana PSG wako vizuri

    Jibu

    Atalanta inapaswa wakae mkao wa kula maana PSG kwa sasa inamolari kubwa Sana.

    Jibu

    kila mtu atalanta Yuko vizuri Yuko vizuri siku zote mpira dk 90 msiyatupe maneno mubakize na ya akiba😂😂

    Jibu

    Psg wajipange kuitoa atalanta si kazi rahisi atalanta ina soka la kushambulia na
    La kasi mda wote

    Jibu

    Kwa psg km season mpya kwao

    Jibu

    PSG nawakubali sana#Meridianbettz

    Jibu

    PSG kwa sasa inayumba sana sijui wanakwama wapi

    Jibu

    Hii n habar njema sana 👍 kwa mashabiki ambao tuanaofatilia lig ya ufaransa kuona inarejea kwa kishindo hapa natarajia kuona mtanange mkal maana Atalanta nao wako vzur tena sana huku nako kikosi cha Thomas tuchel nao wamejianda vzur sana huu si wa kukuosa kabisa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Asante kwa update za michezo

    Jibu

    Walijitaidi PSG ila wasihishie hapo tu bado wana safari ndefu

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Axante kwa habar

    Jibu

    P S G nafkiri nafasi yake ya kuaga mashindano imefika kwani Napoli ni moto wa kuotea mbali saiv uhakika 100% PSG wanaaga mashindano

    Jibu

    PSG wajipange vizuri atalanta sasa hivi wapo vizuri sana

    Jibu

    League yao nyepes t

    Jibu

    Psg noma SANA

    Jibu

    Atalanta sio wa kuwapimia ,moto walionao sio wa kitoto PSG wajikaze

    Jibu

    asante sana kwa makala

    Jibu

    gud news mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Asantee kwa makala

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbettz

    Jibu

    Taharifa nzuri

    Jibu

    Psg wanakibarua

    Jibu

    PSG hatar

    Jibu

    Psg wapo vizuri

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hii n habar njema sana kwa mashabiki ambao tuanaofatilia lig ya ufaransa kuona inarejea kwa kishindo hapa natarajia kuona mtanange mkali baina yao mana wrote wanauwezo wa kupambana vilivyo

    Jibu

    Ni kama walivyofanya kwa Le Harve, PSG walicheza mechi ya kirafiki huku kukiwa na mashabiki kadhaa katika dimba la Parc des Princes huku kamera zikionesha kukosekana kwa kuchukua tahadhari za kujikinga na maambukizi ya Corona kwa nashabiki kukaribiana.

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Wanajiamini sana wako vzr PSG

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Atalanta wako motoo

    Jibu

    Psg wako vizuri Sana

    Jibu

    Watafanikiwa Tu#Meridianbettz

    Jibu

    PSG wako vizur Sana

    Jibu

    atalanta anatoa dozi kubwa na wana Morale ya juu sana psg ajipange aisee

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.