Lampard - Nitaenda na Tahadhari

Kocha Frank Lampard kuelekea mechi ya Manchester United vs Chelsea kwenye nusu fainali ya Kombe la FA amesema; “Mabeki wangu wanatakiwa kuwa makini sana, kwasababu kwa aina ya wachezaji wenye kasi kama wa Man utd wanaweza kutengeneza tukio ambalo kiuhalisia halina ukweli.”

“Tunaelewa uwezo walionao wapinzani wetu, mchezaji kama Bruno Fernandes, kwasababu anauwezo mkubwa kwenye mikimbio yake. Na hata kwenye mechi dhidi ya Aston Villa tuliona alivyotengeneza penati wakati kiukweli haikuwa penati.”

“Ningependa sana kusema kwamba kwa uwepo wa VAR basi maamuzi yanayofanyika yanakuwa haki kwa kila timu zote mbili, lakini ukweli ni kwamba kwa kipindi tulichopo imekuwa ikilalia sana upande wa Man utd, wao wamekuwa wakifaidika zaidi.”


Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

49 Komentara

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Teamwork tu ndio inaweza kuokoa Chelsea na kipigo, moto wa Man sio rahisi kuzimika hata hivyo mpira dakika 90 #meridianbettz

    Jibu

    United sizani kama watakubali kuachia nafasi ya kwenda fainal

    Jibu

    Hawawezi kuiachia nafas hiyo ya kwenda united#meridianbettz

    Jibu

    Ngoja tuone itakuwaje

    Jibu

    Awe na tahadhali kweli maana Sasa hivi Man U ishakuwa kwenye njia take anayekuja mbele take ni kipigo tu

    Jibu

    Tunangoja tuone itakuwaje ataondoka kweli man u

    Jibu

    Man U awawez kuwachia uwazi huu nawao wana taka washike kidedea kwenye mtanange huo wataweza kuacha nafasi hiyo yakwenda Fainali itakuwa ngumu Sana iyo man U anakuja Kama faya akubali kushindwa

    Jibu

    Tutaona kama kweli man u watatoka

    Jibu

    lampard chukua tahadhari kabla ya hatari

    Jibu

    Lampard uko sahihi kabisa

    Jibu

    Mechi moja Kali Sana sio ya kukosa hii ndo fainali yenyewe sasa ila dk 90 zitaongea nani ataibuka mbabe.

    Jibu

    Mimi langu jicho nasubiria nione mana mpira hautabiliki

    Jibu

    Lampard anajihami tu man washaipiga sana chelsea hivyo ni kama lampard anajijihami ila kichapo kitamuhusu

    Jibu

    Man u hii mechi lazima ashinde.

    Jibu

    Asanten kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Man u hawawezi kuwaachia watoto tu hao

    Jibu

    Hii mech Chelsea wanaopportunity kubwa ya ushindi ila Kama watacheza kimazoea man u wanaweza kushinda kwan ukiangalia mifumo yao ya uchezaji tunaona kabsa Chelsea wako vzur kuanzia bek upande wa middle mpk viongo wa mbele wako vzur sana

    Jibu

    Man u anashinda mapema tu

    Jibu

    Safi lampard kwa kujua hatari ya man utd
    Mjipange Sana maana man utd wamekuja kivingine kabisa#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana lampard km ana liheshimu hilo

    Jibu

    Hii sio ngumu sana kwa Chelsea lampard asiwe na of sana hajimini tu mpira matokea yake dk 90

    Jibu

    Man IPO vizuri lazima ishindee

    Jibu

    Hapa man utd lazima washinde

    Jibu

    Man U wako vzur

    Jibu

    Nafkiri mechi ipo 50 fifty na yeyote anaweza kubuka mshindi kwani kwenye safu ya mabeki Manchester sababu Luke ni majeruhi basi nahisi Chelsea wanaweza penya ngome kiurahisi upande wa kushoto

    Jibu

    Hii mechi unaweza Man U wanakazi nyepesi kutokana na ubora wa kikosi chao lakini ninavyoamini mimi Chelsea wanatabia ya kubadilika badilika hivyo matumaini yangu Chelsea watafanya mapinduzi leo

    Jibu

    Itakua mechi ngum san

    Jibu

    Ngoj tuone dk 90

    Jibu

    asante kwa taarifa

    Jibu

    Ni kweli anachosema Lampard bila kuwa na ushirikiano wa kutosha kuepukana na kipigo ni kazi bure lazima awe na tahadhari

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Ngoja tujionee wenyewe leo

    Jibu

    Mko vizuri meridian

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Mtanange wa kibabe Sana, mwamuz dakika 90 najua man u hatokubali kuachia nafas

    Jibu

    Itakuwa mechi ngumu

    Jibu

    Sijui itakuwaje

    Jibu

    Anasema kweli kabisa kocha Lampard kwa timu ya Manchester united imekuwa inatengeneza matukia ambayo ukiangalia hajana ukweli ambao uongozi wa VAR huwa wanawabeba sana. Lakini kama Chelsea watacheza kwa umakini wa zaidi wataoata mafanikio mazuri sana .kila laheri Chelsea

    Jibu

    Ningependa sana kusema kwamba kwa uwepo wa VAR basi maamuzi yanayofanyika yanakuwa haki kwa kila timu zote mbili, lakini ukweli ni kwamba kwa kipindi tulichopo imekuwa ikilalia sana upande wa Man utd, wao wamekuwa wakifaidika zaidi.

    Jibu

    Nikiangalia man united wanavocheza na Chelsea inavocheza wakiwa uwanjani naona kabisa mechi hii ya Leo no ngumu kutabiri mshindi ni nani

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hataree tupu sijui itakuaje

    Jibu

    Mmmmh mpira dk 90

    Jibu

    Mau u tunashinda

    Jibu

    Mkeka wangu Nampa Chelsea

    Jibu

    Tumeona kweli umechukua Tahadhali#Meridianbettz

    Jibu

    ole na degea wake wametukosea sana hii mechi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.