Ipi hukumu kubwa zaidi kuwahi kutolewa duniani? Hakuna anayejua jibu sahihi. Ila ipo moja tunayoweza kuitumia kama mfano, japo sina hakika kama ndiyo hukumu ya kikatili zaidi kuwahi kutolewa katika …
Makala nyingine
Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda …
Winga wa Klabu ya Borussia Dortmund, Jadon Sancho amesema kuwa “anafurahi sana” kushirikiana na wachezaji wachanga wa Klabu hiyo na anataka kusaidia kuwaongoza – Winga huyo wa kimataifa England mwenye …
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward, amekubali kutoa kiasi cha pauni 140m, kwa kocha Ole Gunnar Solskjaer, kuhakikisha anafanya usajili wa kutisha kuelekea msimu ujao. Klabu …
Ben Chilwell amepanga kuiambia klabu yake ya Leicester City wiki hii kwamba anataka kujiunga na Chelsea. Kocha wa The Blues, Frank Lampard anatamani kumuongezea Chilwell kwenye beki yake ya kushoto …
Wilfried Zaha “yuko tayari kuondoka” Crystal Palace, kocha wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema. Winga huyo wa kimataifa wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 27 alihusishwa na kutakiwa na …
Ilimchukua wiki tatu kuingia wavuni kwa mara ya kwanza, Baada ya miaka mitatu ya ‘mvua na jua’ akiwa na Udinese, Bruno alijiunga na Sampdoria August 2016 kwa mkopo. Hatimae June …
Baada ya kocha wa Chelsea Frank Lampard kudai kwanba Liverpool wana kiburi, Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amemuambia ajifunze kuficha hisia zake baada ya mchezo kumalizika. Klopp amesema Lampard alivuka …
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza EPL ikielekea ukingoni, ikiwa takribani imesalia mechi moja na kwa baadhi ya timu zimesalia mbili na Bingwa akiwa tayari amejulikana lakini kukiwa kuna mvutano katika …
Kocha Frank Lampard kuelekea mechi ya Manchester United vs Chelsea kwenye nusu fainali ya Kombe la FA amesema; “Mabeki wangu wanatakiwa kuwa makini sana, kwasababu kwa aina ya wachezaji wenye …
Arsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho. Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika …
Kocha mkuu wa FC Barcelona, Quique Setien amesema kuwa anatumaini kuwa siku moja anaweza kumfundisha nyota wa PSG, Neymar. Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona mnamo 2017 kwa rekodi ya …
Bado naiwaza fainali ya world cup 2006, Pirlo wa usiku ule hakuwahi kuonekana kabla na hajawahi kuonekana tena. Usiku mmoja wa kiume sana katikati ya dimba. Wafaransa walilala wanaiota miguu …
Atletico Madrid wanatarajia kumsajili Alex Oxlade-Chamberlain kutoka Liverpool na wamejiandaa kumtoa kiungo wao, Thomas Partey ili kufanya dili la kubadilishana. Mghana huyo alikuwa sehemu ya Kikosi cha Atletico ambacho kilishinda …
Huhitaji kuwa mtu bora ili ufanye vitu bora ila zaidi unahitaji kufanya vitu bora ili uwe mtu bora, George Weah ni mwafrika pekee aliyebeba tuzo ya ballon dor mpaka sasa, …
Mwenyekiti wa kamati ya matibabu wa UEFA anasema michuano inaweza kuanza tena licha ya mwenzake wa FIFA kusema haipaswi kuanza kabla ya Septemba. Mwenyekiti wa kitengo cha Matibabu cha Shirikisho …
VAR ni kifupi cha neno la kingereza lenye maana ya Usaidizi wa Muamuzi kwa Njia ya Televisheni, Hii imekua kawaida sana kwa kipindi cha karibuni kwa waamuzi wa michezo ya …