Ben Chilwell amepanga kuiambia klabu yake ya Leicester City wiki hii kwamba anataka kujiunga na Chelsea. Kocha wa The Blues, Frank Lampard anatamani kumuongezea Chilwell kwenye beki yake ya kushoto kwenye kikosi chake kuelekea msimu mpya wa PL.

Chilwell, 23, amekuwa Leicester tangu akiwa na umri wa miaka 12 na yuko chini ya mkataba hadi 2024. Lakini sasa anatarajiwa kufanya mazungumzo na Klabu yake ili aweze kujiunga na Chelsea ambayo imefanya Muingereza huyo kuwa chaguo la Kwanza.
Uamuzi wake sio tu kwamba Leicester imemaliza nafasi ya tano na kukosa nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa nyuma ya Chelsea iliyo nafasi ya nne. Kusudi lake ni kuhama na kwenda ambapo anajikuta akicheza kwa miaka mitano hadi sita ijayo katika kikosi cha kwanza.

Chilwell alikosa mechi tano za mwisho za Leicester akiwa na jeraha la mguu na nafasi yake alichukua Nyota wa England U19, Luke Thomas kwenye michezo mitatu iliyopita.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Ernest
Hapa Chilwell ameshalamba deal kubwa la kwenda Chelsea
Hope mwaikuka
Habar njema
Shafii
Chelsea watakua wamelamba dume.
Sabrina
Chelsea wakimchukua huyu watakua wamepata mchezaji mzuri
Salma ngende
Ni mchezaj mzuri
Sadick
Chelsea ijiandae kuvunja bank wachezaji wa Kiingereza huuzwa bei kubwa sana sokoni#meridianbettz
Issa
Chilwell kama anajihalarisha mwenywe the blues
Devotha
Habari njema
Gabriel
Cha msing chilwell aangalie maslai
Zuhura omary kindamba
Asante kwa taarifa
Angelina
Habar njema kwa mashabik wa chelsea
David Pere
Inabidi afanye maamuzi yenye manufaa kwake maana kucheza mpira Ndio kazi yakee inayompa pesaa
Theckla
Habari njema
Omary lukumbi
The blues wajikite zaid kwenye usajili ili kuongeza makali msimu ujao
Dorophina
Itakuwa poa sana chilwell akienda huko lkn Chelsea inatakiwa waandae mpunga wa maana
Mwajumah
Habari njema#Meridianbettz
Adelta
Chelsea wakimchukua watakuwa wamepata mchezaji mzuri sana
#meridianbettz
Magdalena
Aende tu Chelsea Kama wametangaza dau kubwa
Fatina mfingi
Habar njema
Rehema
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema kwa chilwell kulamba dili kubwa kwenda chelsea
Povel
Ndo wakat sahh huu Kama hatasubir muda haumngoj
Rose kapinga
Chelsea okota dodo ilo chin ya mnazi!!!
felister
Chelsea inabidi wajikite zaidi kwenye usajili ili waweze kufanya vizuri msimu ujao
aisha
Habari njema sana
Zeiyana
Hayo ni maamuzi yake na hitakua vizuri kama Leicester watakuabalina na mahamuzi yake
Furahav
Km ataenda chelsea namini atafanya makubwa sana.
Amiri Kayera
Kipindi cha usajir hiki
Fatuma kasomo
Habar njema
Saupha mohamed
Habari njema
Theonestina
Habari njema Sana
warda
Ila yupo vizuri sana