Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward, amekubali kutoa kiasi cha pauni 140m, kwa kocha Ole Gunnar Solskjaer, kuhakikisha anafanya usajili wa kutisha kuelekea msimu ujao.

Klabu za Premier League tayari zimeanza kufanya usajili baada ya dirisha kufunguliwa Julai 27, mwaka huu huku likitarajiwa kufungwa Oktoba 5, mwaka huu.
Man United itatumia kiasi cha pauni 140m, kwa ajili ya usajili, hii ni baada ya timu hiyo kufanikiwa kuingia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kutokana na kumaliza nafasi ya tatu ndani ya Premier League. Kitendo cha Man United kutinga michuano hiyo ya Ulaya, itakusanya kiasi cha pauni 120m.

Man United katika usajili mipango yao mikubwa ipo kwa Jadon Sancho wa Dortmund ambaye dau lake ni pauni 100m na Jack Grealish kutoka Aston Villa, thamani yake ni pauni 75m. Katika hatua nyingine, Man United wana mpango wa kuwauza nyota wake akiwemo Chris Smalling, Alexis Sanchez, Phil Jones, Jesse Lingard, Diogo Dalot, Timothy Fosu-Mensah na Andreas Pereira.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Sabrina
Wamejiandaa vyakutosha kweli wanataka kuimalisha timu yao united wako vizuri hawataki masihara
Salma ngende
Wamejipanga vizuri
Sadick
Sioni kama Man inahitaji kutumia fedha nyingi kununua wachezaji msimu huu#meridianbettz
Issa
Ole afanye kweli united imemuamin
Devotha
Itapendeza Sana Kama watampata sancho
Genia Sikaluzwe
Wamejipanga vizuri sana
Gabriel
Habar njema
Zuhura omary kindamba
Habali njema
Angelina
Goodupdate
David Pere
Safi sanaa maana atasajiki wachezaji wenye kuisaidia timu take vizuri na kupata mafanikio yanayostahili kwake
Theckla
Itapendeza Sana Kama watasajili wacheji wa kiwango cha juu kwani msimu uliupita walikuwa hovyiyo sana
Omary lukumbi
Ole asikulupuke kununua wachezaj bora pesa yake ikamate player wa maana sio majina
Dorophina
Man u wamejipanga vizuri kweli
Mwajumah
Wamejipanga vizuri sana#Meridianbettz
Adelta
Good news # meridianbettz
Mwanahamisi
Wamejipanga vizuri
Magdalena
Pesa nyingi Sana izo awe makini katika kusajili wachezaji walio bora
Khadija
Habari njema#meridianbettz
Fatina mfingi
Makala nzur
Caroline
Wachezaji wa man u mbona wapo vizuri.haina haja ya kutumia pesa nyingi kusajili
Lydia Emmanuel Magoti
Wamejipanga vizuri sana
Rehema
Habari njema
Ernest
Ni wazi makocha vijana katika ligi ya uingereza wamekuja na staili ya kutaka kujenja kwanza vikosi vyao ili kupambana katika kuweka rekodi ambapo ni jambo zuri na ni dei pia kwa club na mashabiki.
Tatu
Good news
Shafii
Ni wakati wake sasa wa kutengeneza kikosi cha ushindani msimu ujao.
Zeiyana
Hitakua vizuri wakihimarisha na kikosi pia kwa mtazamo wangu Sancho yupo vizuri hatawafaa kama wakimsajili
Povel
Habar njema kwa mashabik wa united
Rose kapinga
Kama inawezekana sio mbaya!!
felister
itakua vizuri kama wakisajili wachezaji wenye viwango vya juu
aisha
Wamejipanga vizuri sana #meridianbet
Hope mwaikuka
Itakua poa sana
Furahav
Mmmh man hii itakuwa poa sana.
Amiri Kayera
Asajir wachezaji wazur
Fatuma kasomo
Wamejipanga vizuri
Saupha mohamed
Mpango mzurii
Theonestina
Itakuwa poa
Flomena
Wako vizuri
warda
Afadhali bwana atengewe mana hatuko poa