FA Cup Haijawahi Kuwa Ngumu Kwetu - Arteta

Mikel Arteta anaamini FA Cup haijawahi kuwasumbua kushinda Arsenal ikiwa wanaendakukabiliana na wababe Man City katika nusu fainali ya mashindano hayo.

Mara ya mwisho hizi timu mbili zilkutana katika hatua kama hii ya mashibdano, Arsene Wenger alihakikisha Pep Guardiola akiwa Manchester City hambulii kombe katika msimu wake wa kwanza baada ya Alex Sanchez kufunga goli baada ya muda kuongezwa na matokeo yaliisha 2-1.

Walakini, Baada ya hapo City wameshinda mechi zote saba walizokutana na Arsenal, ukijumuisha Fainali ya EFL 2018.

Kama Arsenal wakishinda mchezo huu watakuwa wamefuzu kuingia fainali na watamsubiri mshindi kati ya Chelsea au Man United siku ya Jumapili.

Arteta alishawahi kushinda FA Cup mfululizo pindi alipokuwa mchezaji akiwa chini ya mwalimu Wenger na hii ilikuwa msimu wa 2014 na 2015, ingawa kocha huyo wa Arsenal anaona mchezo huo dhidi ya City utakuwa mgumu kwani timu zote zimekuwa zikihitaji kushinda kombe hilo baada kukosa Premier League.

“Nafikiri, klabu nyingi zimekuwa zikitumia mashindano haya kutoa fursa kwa wachezaji wao kutoka akademi au kubadili vikosi vyao,” msaidizi huyo wa zamani wa Guardiola alisema.
“Tizama katika nusu fainali, angalia ni kwa kiasi gani wachezaji wanavyo jaribu kupata ushindi na kutwaa taji.

Arsenal iliwafunga 2-1 mabingwa wapya wa Premier League Liverpool katikati ya wiki na kukamilisha ushindi wao wanne.

 


 

Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

49 Komentara

    Sawaa nimewaelewa kikubwa msilegeee mkazane

    Jibu

    Mpambane vzr

    Jibu

    Dakika 90 ndo mpango mzima

    Jibu

    Mikel arteta ana jiamin kulingana rekodi waliokua nayo

    Jibu

    Nivizuri wakakaza buti kwenye mchezo unao fatia Asrenal mpambane zaidi kwenye nusu Fainali hiyo

    Jibu

    Itaeleweka tu

    Jibu

    Mechi hii itakua Kali sana

    Jibu

    Arsenal akaze buti wapange upya kikosi Chao vizuri

    Jibu

    mpira dk 90

    Jibu

    Mpambane tu #Meridianbettz

    Jibu

    Acha tuone nan ataibukamshindi

    Jibu

    Kitaeleweka tu

    Jibu

    Waswahili wanasema maneno matupu hayavunji mfupa. Tuone vitendo uwanjani#meridianbettz

    Jibu

    Mpira dakika90#meridianbettz

    Jibu

    Ngoja tuone km itakuwa hivyo.

    Jibu

    Maoni:hiyo mechi kali sana

    Jibu

    Mwaka huu itawawiya ngumu Sana maana kila timu unataka kulichuka Hilo kombe

    Jibu

    Mpira dakika 90

    Jibu

    Hii mechi itakua Kali sana

    Jibu

    haa patachimbika.watu wanajiamini

    Jibu

    Arsenal achomoki hii mechi fainali ya fa itakua Kati ya Chelsea na man city.

    Jibu

    Acha tusubili baada ya dk 90 nini kitatokea

    Jibu

    Arteta ajipange city ni timu ambayo haiteteleki ukizingatia uwepo wa kelvin dw brunye pale kati ni hatari sana

    Jibu

    Naikubal tena sana Arsenal jeshiii

    Jibu

    Arsenal ya arteta inabid mpambane
    Man city Sio Tena ya mchezo#meridianbettz

    Jibu

    Moira dk90 tusubili matokeo

    Jibu

    Vzur

    Jibu

    Arteta anaanza majigambo mechi yake yenyewe mbovu

    Jibu

    Anajip moy nakikos chake kibov

    Jibu

    History hazichez Mikel Arteta ngoj tuone dk90

    Jibu

    Ukiingia vitani unatakiwa kujiamini ,sasa kama timu wanavyojiamini ,sio raisi kushindwa kizembe zembe

    Jibu

    anajipa moyo na matumaini tu

    Jibu

    kaz but maneno kitu sipo

    Jibu

    Kitaelewekatu

    Jibu

    Ngoja tujionee wenyewe leo

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Kitajulikana tu

    Jibu

    Kitu kitajulikana uwanjan maamuz Zaid dakika90

    Jibu

    Hii mechi itakuwabkali

    Jibu

    Kocha Arteta anajiamini sana na kujiamini kwake kumeleta mafanikio kwao

    Jibu

    Nafikiri, klabu nyingi zimekuwa zikitumia mashindano haya kutoa fursa kwa wachezaji wao kutoka akademi au kubadili vikosi vyao

    Jibu

    Ni ngumu banaa

    Jibu

    Ndio mkaze sasa

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Uhalisia dk 90 ndio Kila kitu

    Jibu

    Kujiamini tu#Meridianbettz

    Jibu

    haya sasa wakakamilishe usemi wao kwa kumfunga Chelsea sasa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.